kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Tuna zaidi ya hio,,pangani,kupitia hapo underpass huwa raha,, unique experienceYa ubungo ni ya kawaida kwamba mnayo km ile [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuna zaidi ya hio,,pangani,kupitia hapo underpass huwa raha,, unique experienceYa ubungo ni ya kawaida kwamba mnayo km ile [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwn ulilazimishwa kupanda nganya, si yapo magari ya sacco piaYaani nishida kwa kweli nilikuwa na wakati mgumu ikifikia usafiri wao unawaza Kwanza,vibaka wanakuwa wengi mlangoni ukikaa dirishani labda unatumia smartphone yako mwanangu unaibiwa tukianza swala la usalama Nairobi zero kuna eneo moja wanaita River road unaibwa mchana kweupe hakuna msaada wowote Ila maswali ya kisenge ndugu umeibiwa nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Kenya wengi wanaishi chini ya Dola moja, Nairobi nyumba gharama ziko juu,chakula kizuri kwao lazima ugaramikie au sivyo utakula vitu vya ajabu uarishe kutwa nzima,kingine jamaa hawazingatii usafi unaweza uka kuta mgahawa pembeni maji taka yanapita,kwa kweli tumshukuru mungu kwa Tanzania yetu hata kama kuna umaskini sio umaskini wa njaa na style hiyo😏Sasa kwa malazi haya kuna nchi kweli?.View attachment 1648317View attachment 1648318View attachment 1648319View attachment 1648320View attachment 1648321
Nenda jozy uone km utakuta chakula kw bei ya nyanyaYani Kenya wengi wanaishi chini ya Dola moja, Nairobi nyumba gharama ziko juu,chakula kizuri kwao lazima ugaramikie au sivyo utakula vitu vya ajabu uarishe kutwa nzima,kingine jamaa hawazingatii usafi unaweza uka kuta mgahawa pembeni maji taka yanapita,kwa kweli tumshukuru mungu kwa Tanzania yetu hata kama kuna umaskini sio umaskini wa njaa na style hiyo[emoji57]
Kwani nganya hazipo ndani ya Sacco?,hata ukisema upande city hoppa au,city shuttle,kbs etc kuna wazee pickpocket ndani kwa hiyo ni mtihaniKwn ulilazimishwa kupanda nganya, si yapo magari ya sacco pia
Kwa kweli umenichekesha😂😂😂😂Bora nikae bongo kwetuNenda jozy uone km utakuta chakula kw bei ya nyanya
sijuiFloating bridge maana yake nn
nyie mlio rich...Wivu[emoji23][emoji23][emoji1787]That your poor army can't afford something like this[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1647530
DALA DALA VS MATHREEKwani nganya hazipo ndani ya Sacco?,hata ukisema upande city hoppa au,city shuttle,kbs etc kuna wazee pickpocket ndani kwa hiyo ni mtihani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] wakenya ni vichaa sanaKwa hiyo siku hizi jeshi lenu linavaa gwanda za JWTZ! View attachment 1647663
Kwmb pangani ni 3level hahahahaaaaaaTuna zaidi ya hio,,pangani,kupitia hapo underpass huwa raha,, unique experience
Yn sisi kila siku tunapost miradi mipya all over the country nyie mmegandana na Nairobi tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
we kila siku huwa unaumbuka....Bado nilikuwa nashangaa ni aje Kenya ikuwe na silaha zimezeeka hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23]. Bahati nzuri mkasema hizo ni silaha za Tz[emoji23][emoji23][emoji1787]
Watajua hawajui [emoji24][emoji24][emoji24][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hizo zinazowaka ni meli kubwa ziko kwenye folen.. ziko 11..sijaweza kupiga zote.. ni pale coco beach.. hata ukienda saiz utazikuta
View attachment 1648346View attachment 1648348View attachment 1648351
NDINDA kama uko karibu na cocobeach.. pitia hapa upige picha
Huyo ndio JPM alishasema hakuna port iliyokaa kimkakati km Dar port kwa Afrika hii, so ni aibu kuzidiwa na port ushuzi na ss wameanza kuisoma namba, meli 11 kwa wakati mmoja c mchezo, yn imefika kipindi traffic jam mpk baharini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hizo zinazowaka ni meli kubwa ziko kwenye folen.. sijaweza kupiga zote.. ni pale coco beach.. hata ukienda saiz utazikuta
View attachment 1648346View attachment 1648348View attachment 1648351
NDINDA kama uko karibu na cocobeach.. pitia hapa upige picha