Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona venye mko na silaha zenye zimezeeka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo jeshi ni maskini for real[emoji23][emoji23][emoji23]
Umechange gia angani,mwanzo ulikua unadai hao ni wale waiba biscuit wenu,ulipojua sio wao unadai silaha zimezeeka,kwenye mafunzo tutumie silaha gani pimbi wewe
 
Halafu cha kuchekesha ni kuwa magaidi wa Somalia wanatumia silaha zilizozeeka zaidi ya hizo na wanawapapasa left, center and right [emoji23][emoji23][emoji23]
Nunueni silaha bana[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani kazi ni kungoja hili mupewe vitu za bure[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kw akili zako floating bridge ni nn, angalau nataka kujua uwezo wako wa kung'amua mambo wala sio kupiga porojo tu
Ukitaka kujua floating bridge ni kitu gani,kitu cha kwanza kabisa uelewe maana ya neno "float" kisha "floating"
Ukishindwa kuelewa kabisa,muone nixcie akueleweshe,maana huyo English anaijua kiasi
Achana na teargas atakuambukiza ukilaza
 
Uliandika hivi.
Ebu tuambie hiyo ni jeshi la wapi kama sio ya Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikakujibu hivi ikabidi ubadilishe gia.
Kwa hiyo siku hizi jeshi lenu linavaa gwanda za JWTZ! View attachment 1647663
Ulivyo kuwa unangangania kuwa hilo ni jeshi la kenya hukuona haya uliyo yaandika hapa?
Nunueni silaha bana[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani kazi ni kungoja hili mupewe vitu za bure[emoji23][emoji23][emoji1787]
Heri mjinga unaweza mfundisha akawa mjanja ila mpumbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Opinion?!?? Hujaona picha alizoweka mwenzako,makamanda wapo photo shoot studio![emoji1787][emoji1787][emoji38]

Ndo maana mujahdeen,wazee wa al-kasusu wanawajambisha ile mbaya kwa hakuna kamanda hapo,wote ni mabishoo,wauza sura,wazee wa maphoto kama diamond au konde boyyy
Do you know the meaning of showcasing?
Everything in the millitary has a purpose budaa.
 
Uliandika hivi. Nikakujibu hivi ikabidi ubadilishe gia. Ulivyo kuwa unangangania kuwa hilo ni jeshi la kenya hukuona haya uliyo yaandika hapa?
Heri mjinga unaweza mfundisha akawa mjanja ila mpumbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado nilikuwa nashangaa ni aje Kenya ikuwe na silaha zimezeeka hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23]. Bahati nzuri mkasema hizo ni silaha za Tz[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Ukitaka kujua floating bridge ni kitu gani,kitu cha kwanza kabisa uelewe maana ya neno "float" kisha "floating"
Ukishindwa kuelewa kabisa,muone nixcie akueleweshe,maana huyo English anaijua kiasi
Achana na teargas atakuambukiza ukilaza
Swadakta, kwhyo ilkua wajua mbna basi wajitoa ufahamu km ilkua una uelewa..
Au ni majungu wala hupo serious
 
We don't fight the poor, we console them[emoji23][emoji23]
Museveni tu mmemshindwa,na mingingo island kawapora..na mkia mmeufyata
Juzi hapa ethiopia kadungua ndege zenu,na kajitangaza kabisa..lakini mmeogopa mmeunyuti kimyaa as if nothing happened..!
Nyie ni hopless tu,na tz hamuiwezi,pambaneni na hao vijana wetu wa ki-tz waliopo mujahdeen mujarab
 
Sasa unataka tupiganie migingo kwani nini iko huko?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] We are aiming for oil wells along Somalia coastline wewe unakuja na mambo za migingo, huko hatuezituma hata watchmen[emoji23][emoji23]
 
Bado nilikuwa nashangaa ni aje Kenya ikuwe na silaha zimezeeka hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23]. Bahati nzuri mkasema hizo ni silaha za Tz[emoji23][emoji23][emoji1787]
Kama tu wanamgambo wa Somalia wanatumia silaha zilizozeeka na wanawapapasa hamna hamu nao imagine wangepata silaha za kisasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom