Tunna05
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 243
- 526
Hawa ni wauza sura tu... ni wakenya mhen what did u expect. Wanavyo portray na the reality ni two side of the coin.. nikwenda nao hvyo hvyo tu mpaka watakapo jua hawajuiWanajeshi hadi wanaenda photo studio na magwanda ku-shoot!!??..in short hao si wanajeshi ni matozi wauza sura