Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kwa wakati huu maji yapita juu gari chini,I need to visit that place,, that the 8th Wonder of the world [emoji1787][emoji1787][emoji91]Dar vituko tupu
maanina,nyie hamna nyimbo mtaacha kuimba mwaka huu[emoji1][emoji1].

kete tunazosogeza zote ni king,tunapiga mbele na nyuma.

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu hata kuna baadhi ya nchi ulaya hawana, Magu kiboko wallahi, jamaa wanajitahidi kufurukuta lkn wapi wakiweka kimradi chao cc tunaweka mega project , angalia vile inapendeza kwa macho[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums-1246714333.jpg
 
Hahahahaaa kule mbele unaona kitu km mnara flani hv amaizing, alafu angalia apo kati ni balaa yn km peponi vile, ss hii kitu ndo itawekwa pale jangwani na nadhani mnatujua kwenye engendering kitu kitatoka km render yn, ona [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
JamiiForums-1246714333.jpg
 
Hii kitu hata kuna baadhi ya nchi ulaya hawana, Magu kiboko wallahi, jamaa wanajitahidi kufurukuta lkn wapi wakiweka kimradi chao cc tunaweka mega project , angalia vile inapendeza kwa macho[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1648214
Halafu formula yetu ile ile tunaongea sasa na tunatekeleza sasa na si kusubiria subiria mchakato wa kupiga 10%.
Fedha tunazo,
 
Evidences zote tulizoziweka mwaka jana wakati tunalinganisha Tanzania vs Kenya Airforces tulikubaliana kwamba Tanzania inazo J-7 jumla 14, zilizonunuliwa 2012, Kenya Airforce inazo F-5 7 jumla 5 zilizonunuliwa 1980s, ninashangaa leo unataka kurudisha mjadala tuliukubaliana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kuna michezo fulani fulani siwezi kucheza. Afadhali nikuwache tusije tukakosana.
 
garimoshi kama "lenyu" tena tayari lime-break down tayari! Kenya and Nigeria r birds of the same feathers!


Hii ni ya Abuja- Kaduna ambayo ilizinduliwa zamani na imefanya kazi kwa miaka nyingi sasa. Mimi train yenye nilipost ilikuwa ya Lagos-Kano Sgr. Usichanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom