Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hata baiskeli inaruhusiwa kweli? Maana nasikia mtakua mkipita peku 😅😅
That's a temporary bridge to be used by pedestrians while we build the main bridge you idiot. I know bongolalas have never seen such a thing but stop exposing your ignorance here.
 
ASA kiukweli umeona sehemu yoyote Ile nimeeandika hiyo floating bridge? Kweli jirani yangu nmewapa mfano tu!,kua Hilo ni daraja la kawaida bongo Ila ukilinganisha na hilo lenu mchina kawanyea mchana mkeupe
Sasa unaongea km nani hko bongo
 
This temporary bridge built for 6hours by millitary,

In kenya just like this bridge built for nearly four year for the name of floating bridge with 1.7ksh spent.
images (90).jpeg
 
This temporary bridge built for 6hours by millitary,

In kenya just like this bridge built for nearly four year for the name of floating bridge with 1.7ksh spent.
View attachment 1647450
Nyi mko na ujinga Sana how can you compare a bridge over a stream to a bridge over the ocean which is 1.4 km,,and plz show us a bridge in TZ which can be opens and closes 🤣😝
 
Katika watu ambao naona wanazeeka vibaya humu kwenye huu uzi ni wewe. Kadri siku zinavyokwenda ndivyo akili yako na comment zako zinazidi kuwa mlenda mlenda tu. Sijui ni hiyo kazi yako ya lindo inachosha sana akili ama vp? Umebaki ku-boast tu.
Mlenda mlenda?? 😂
Character assassination of people you don't even know won't stop you from saying mlenda mlenda
 
Back
Top Bottom