Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii barabara sioni ikimaliza mwaka mmoja kwa hii speed
tapatalk_1607718480642.jpg
tapatalk_1607718466164.jpg
tapatalk_1607718513601.jpg


Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 
Wivu[emoji23][emoji23][emoji1787]That your poor army can afford something like this[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1647530
Kuna wakunya wenzako kule twitter walikua wanajimwambifai hilo ni jeshi la kenya,kunyaland uongo mtaacha lini!
 

Attachments

  • EXTREME_TRAINING_:_KDF_RECRUITS_CROUCHING_ON_MUD_UNDER_LIVE_FIRE(480p).mp4
    1.8 MB
Kuna wakunya wenzako kule twitter walikua wanajimwambifai hilo ni jeshi la kenya,kunyaland uongo mtaacha lini!
Waongo ni watanzania wenzako wenye wanaiba picha za nchi zingine na kutudanganya kuwa na za Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Coming from a random lazy folk, anyway let me consider this as an opinion..
Opinion?!?? Hujaona picha alizoweka mwenzako,makamanda wapo photo shoot studio!🤣🤣😆

Ndo maana mujahdeen,wazee wa al-kasusu wanawajambisha ile mbaya kwa hakuna kamanda hapo,wote ni mabishoo,wauza sura,wazee wa maphoto kama diamond au konde boyyy
 
This is the military poverty I was talking about[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Umeona venye mko na silaha zimezeeka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Halafu cha kuchekesha ni kuwa magaidi wa Somalia wanatumia silaha zilizozeeka zaidi ya hizo na wanawapapasa left, center and right [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom