Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah brt iko city zote kubwa unazozijua,na house zipo kote duniani..huwezi kukuta mabati vibanda full suit LA..be exposed!
Unadhani seoul kuna mbukinya au lori za isuzu zinazobeba passengers?!?
Tanzania nyumba za mabati full suit unapinga?
 
Dar haina bush,dar ina concrete jungle..huwezi kukuta city ni 3/4 ni forest europe,asia hata america..big city huwa na concrete jungle,si kama nairobi ina small area hapohapo 3/4 ni bush
Tuonyeshe huo msitu
 
Bongo hakuna hizo takataka,zipo nairobi waishipo 2.5 million people
Hahahawazee wa denial mpo..
Yani hawa jamaa kw kupinga tu hawajambo..
Mi wala sicheki hzo nyuma ila nawashangaa wazee wa tz wanaokata kila siku km kwao hakuna nyumba za ubati juu chini..

Screenshot_20201212-010603_YouTube.jpg
Screenshot_20201212-010718_YouTube.jpg
Screenshot_20201212-010808_YouTube.jpg
Screenshot_20201212-010823_YouTube.jpg
Screenshot_20201212-010918_YouTube.jpg
 
Sijaongea nimeandika.

Angalia hiyo video kisha usome upumbav ulioandika humu.

Lini hao walipigwa RPG, wajua we unaongea tu walai..usiombe kabisa nakwambia..

Mziki kabla haujatua unashtushwa uluzi kwanza sekunde nichache hujajipanga ushatua ukitoka hivi wenzako hawana viuno..hujakaa vizuri mbili zishatua we unaongea tu wala hujui
 
Nkulize nyinyi nmefanya nini kwa kuwa you are one of the most poorest country in the world,,tena huko bado watu wanaishi kwa uswazi nyumba za 18th century,
Hakuna shida ya maji katika miji na majiji, mijini maji ni 85% vijijini ni 74%. Hatuna shida ya chakula, tunazalisha zaidi ya mahitaji yetu na tunawauzia chakula, hatuna shida ya slums, hatuna shida ya crime wala rushwa, hayo ndio mambo ya msingi kwa binadamu, sio majumba marefu
 
Back
Top Bottom