Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mujibu wa Utafiti wa African Urban population, Tanzania has a bigger slum population than Kenya. Lakini kwa sababu ya propaganda ya CCM, wananchi bongolala huko Tanganyika hawajui hizi facts. Wanafikiria eti hawana slums lakini on the ground wana slums kibao zaidi ya Kenya.

View attachment 1647804
UNDP na UNhatitat wansema Tanzania hakuna slums, Kenya, Nigeria, India, South Africa na Bangladesh ndio vinara wa slums duniani
 
Lini hao walipigwa RPG, wajua we unaongea tu walai..usiombe kabisa nakwambia..

Mziki kabla haujatua unashtushwa uluzi kwanza sekunde nichache hujajipanga ushatua ukitoka hivi wenzako hawana viuno..hujakaa vizuri mbili zishatua we unaongea tu wala hujui
Uwezo wako wa kujua silaha na vita ume base sana kwenye movie ndio maana unatumia vigezo vya kitoto na ku argue kwa imagination..
Jeshi sio vifaa wala nn hususani jeshi linalojikita kulinda mipaka ya nchi yake sio kutawala dunia na ndio majeshi ya nchi nyingi yamebase kujilinda ni nchi chache zimebase kwenye superiority uhalisia wa jeshi imara vitu muhimu vya ushindi cha kwanza cha muhimu kuliko hata Rpg na unazozijua ni NIDHAMU ni silaha ya kwanza kabla ya technology na ndio hufanya majeshi kufail au kuwin ww inaonekana ukiona ma chopa na ndege kwenye video unaona ndio vita
Hata jeshi la marekani likikosa nidhamu ni sekunde ndio maana wababe wa kweli wa vita kama russian majeshi yake ni nidhamu over nidhamu na jeshini ni sekunde kufukuzwa kama huna nidhamu au kuwa terminated ila hata kama hujui silaha una nidhamu unaweza fika cheo chochote hiyo itakubeba
Na katika nidhamu jeshi la tz ni best kuliko ninyi kwanza halina ukabila halina udini hivyo kamanda wako ukikuta ni msukuma ww utatii utajua kwa initial zao kwanza kuna makabila ukikuta kamanda ni mkurya au masai aliye serious ukiambia ni mbele hakuna kurudi nyuma bro mbona vita inaisha nyinyi hamna nidhamu ya jeshi kwa sehemu kubwa ikichangiwa na migawanyiko yenu na vijana wenu kuwaza maslahi zaidi kuna wasababisha wasiwe wanajeshi bali waajiriwa jeshini hata muwe na vifaa gani mkivamia mpaka wa tz nyie ni mapanga tu mnapotea
Ukitaka kujua nidhamu ya jeshi tunayoiongelea angalia vijana waliopita hapa nchini hususani monduli tuanze na kagame mnaye muadimire kwa utendaji rwanda tuje museveni aliyewanyanganya island hao wanatosha kukuonyesha mtu akiingia jeshi la tz anatokaje na wote hao majeshi yao angali yalivyo na nidhamu amini alipigwa kwakua jeshi halikuwa na nidhamu ila ug ya sa hv jeshi linanidhamu ndio maana mnaliadimire
Achana na kusini mwa africa ambako kila jeshi la nchi tanzania inamchango wa kulifua au kufundisha
Ni tanzania hata mbabe wa vita putin alikaa miaka mitatu morogoro mapangoni akifua vijana na kujifua yeye remind you sisi jeshi letu sio la kupigania uhuru hili ni jeshi lililosukwa upya baada ya jaribio la uasi kwa j.k na lilisukwa kwa utashi wetu ,urusi,cuba,china, vietnam na nchi nyinginezo na baada ya kusukwa ndio tukaanza kutoa msaada wa kivita au kijasusi na intejensia kwa nchi zingine hatukukurupuka kuanza kusaidia harakati za wengine mkuu tulikuwa tushaenda next level kiutendaji wa jeshi

Mkuu vifaa ni part ndogo sana ya jeshi hususani nchi kama zetu silaha tukiamua tunavita na nyie na silaha tunaitaji tunaua tu budget silaha zitamiminwa maana tuna mahusiano mazuri na wababe wengi na mahusiano yenye history sio ya kwenu ya kujikomba na ndio wauuzaji tena sisi hela ikiisha tunaweka tu tanzanite rehani au gesi tunaweza weka rehani na nyuklia tukapewa ni utashi wa ku negotiate tu hivyo vifaa visikupe maneno helicopter 200 zikihitajika tanzania au kenya ni sekunde muhimu hela na mawasiliano mazuri na wauzaji ila uwezo wa kukusababisha ushinde utarudi hapo juu kwa nidhamu

Kuna vitu vingi mkuu kuhusu jeshi au vita tukichambua utajua wote hatujui ila kama ni kubet vita kwa tz mnapotea

Kuna vitu kama historia ya jeshi vinaplay part kubwa kwenye moral jeshini maana huwezi kua congo kazini alafu mnajua kabisa watangulizi wetu hawajawahi pigwa lazima uende mbele tena kwa kujiamini na kwanza cdf mpaka koplo hakuna anyekubali kuacha rekodi mbovu bora ufe remind you jeshi letu linafanya kazi kama one body halina maslahi binafsi Bora ufe ushindi uwepo

Kuna kitu kama umoja wa nchi unaplay part kubwa jeshin

Kitu ambacho kinaweza upgrade uwezo wa majeshi yetu ni mifumo ya technology ya kujilinda sio aina ya silaha no ni mifumo kwanzia ya utendaji na ya kisayansi sio silaha gani unayo wakati wenzio wanamifumo ya kujilinda na kujiami na silaha vita na kimifumo ya utendaji sisi tuna nyota tano toka kitambo ndio maana huwezi elewa profile ya jwtz mpaka kesho utaishia kusema tuna aircraft 32 ungejua tu

Pia vita achana na jeshi vita inabase kwenye idara zenu za ujasusi na tanzania kwa idara ya ujasusi iliyofanikisha operation nyingi sisi tupo top 3 nyinyi hata top ten sizani remind you ukisikia tumepiga vita za ukombozi na kusaidia kusuka nchi nyingi kusini kwa maana nyingine ile ilikuwa ni sehemu ya kukuza idara ya ujasusi na kote tulikopita tunakujua A to Z hata congo vita tumeshaimaliza kinachondelea ni ujasusi tu na sisi ndio baba yao maana sisi ni wakongwe tokea 1970s tulishaanza kuzijua nchi zingine huku sisi hakuna muafrika aliyetuingilia ulivomuona president wao anakimbilia kusalimu tz na bado raisi wetu hakwenda kwenye uapisho na wenu alienda basi ujue ni utii au heshima au shukran ya kuonesha uwepo wako

Tuishie hapo ila nyie kivita au kijeshi meza ila chungu mnahitaji ku level up na ndio kwanza mnatatua ukabila sijui mental stable ya jeshi lenu kureflect unite ya wananchi ili na wao wawe unite itafika lini

Tanzania sio level yenu kwa sababu ya ukombozi wa kifkra,ukabila,kutawaliwa ,kutegemea au kujishusha hiyo tulishajikomboa kitambo hiyooo kinachotueka meza moja kila siku na nyie au nchi nyingi za africa ni umaskini wa kipato jambo ambalo tumeanza kulimaliza soon utaelewa tu na ni vyema ukaelewa mapema maana kadri tz inavokua ndivyo na nyinyi wadogo zetu mnapata mfano wa kuiga..
 
hapa mkuu,darasa murua ila mwanafunzi ni kuku wa kisasa.
 
UNDP na UNhatitat wansema Tanzania hakuna slums, Kenya, Nigeria, India, South Africa na Bangladesh ndio vinara wa slums duniani
unataka tena tuanze kuwaonyesha evidence ya picha za slums za Tanzania ?
eti Tanzania hakuna slums.🤣🤣🤣. Hio ndio propaganda ya Sisiemu uko Danganyika. 🤣🤣🤣🤣

This is the official report from World Bank. Huwezi kubishana na hii report ya World Bank. Tanzania slum population iko zaidi ya Kenya. 🤣🤣🤣🤣🤣
12752170_1272373310164198slummiejpeg5bc74b217fc71e743256eb117c297b89jpegf7b2fea94750d28418635...jpeg
 
Uwezo wako wa kujua silaha na vita ume base sana kwenye movie ndio maana unatumia vigezo vya kitoto na ku argue kwa imagination..
Jeshi sio vifaa wala nn hususani jeshi linalojikita kulinda mipaka ya nchi yake sio kutawala dunia na ndio majeshi ya nchi nyingi yamebase kujilinda ni nchi chache zimebase kwenye superiority uhalisia wa jeshi imara vitu muhimu vya ushindi cha kwanza cha muhimu kuliko hata Rpg na unazozijua ni NIDHAMU ni silaha ya kwanza kabla ya technology na ndio hufanya majeshi kufail au kuwin ww inaonekana ukiona ma chopa na ndege kwenye video unaona ndio vita
Hata jeshi la marekani likikosa nidhamu ni sekunde ndio maana wababe wa kweli wa vita kama russian majeshi yake ni nidhamu over nidhamu na jeshini ni sekunde kufukuzwa kama huna nidhamu au kuwa terminated ila hata kama hujui silaha una nidhamu unaweza fika cheo chochote hiyo itakubeba
Na katika nidhamu jeshi la tz ni best kuliko ninyi kwanza halina ukabila halina udini hivyo kamanda wako ukikuta ni msukuma ww utatii utajua kwa initial zao kwanza kuna makabila ukikuta kamanda ni mkurya au masai aliye serious ukiambia ni mbele hakuna kurudi nyuma bro mbona vita inaisha nyinyi hamna nidhamu ya jeshi kwa sehemu kubwa ikichangiwa na migawanyiko yenu na vijana wenu kuwaza maslahi zaidi kuna wasababisha wasiwe wanajeshi bali waajiriwa jeshini hata muwe na vifaa gani mkivamia mpaka wa tz nyie ni mapanga tu mnapotea
Ukitaka kujua nidhamu ya jeshi tunayoiongelea angalia vijana waliopita hapa nchini hususani monduli tuanze na kagame mnaye muadimire kwa utendaji rwanda tuje museveni aliyewanyanganya island hao wanatosha kukuonyesha mtu akiingia jeshi la tz anatokaje na wote hao majeshi yao angali yalivyo na nidhamu amini alipigwa kwakua jeshi halikuwa na nidhamu ila ug ya sa hv jeshi linanidhamu ndio maana mnaliadimire
Achana na kusini mwa africa ambako kila jeshi la nchi tanzania inamchango wa kulifua au kufundisha
Ni tanzania hata mbabe wa vita putin alikaa miaka mitatu morogoro mapangoni akifua vijana na kujifua yeye remind you sisi jeshi letu sio la kupigania uhuru hili ni jeshi lililosukwa upya baada ya jaribio la uasi kwa j.k na lilisukwa kwa utashi wetu ,urusi,cuba,china, vietnam na nchi nyinginezo na baada ya kusukwa ndio tukaanza kutoa msaada wa kivita au kijasusi na intejensia kwa nchi zingine hatukukurupuka kuanza kusaidia harakati za wengine mkuu tulikuwa tushaenda next level kiutendaji wa jeshi

Mkuu vifaa ni part ndogo sana ya jeshi hususani nchi kama zetu silaha tukiamua tunavita na nyie na silaha tunaitaji tunaua tu budget silaha zitamiminwa maana tuna mahusiano mazuri na wababe wengi na mahusiano yenye history sio ya kwenu ya kujikomba na ndio wauuzaji tena sisi hela ikiisha tunaweka tu tanzanite rehani au gesi tunaweza weka rehani na nyuklia tukapewa ni utashi wa ku negotiate tu hivyo vifaa visikupe maneno helicopter 200 zikihitajika tanzania au kenya ni sekunde muhimu hela na mawasiliano mazuri na wauzaji ila uwezo wa kukusababisha ushinde utarudi hapo juu kwa nidhamu

Kuna vitu vingi mkuu kuhusu jeshi au vita tukichambua utajua wote hatujui ila kama ni kubet vita kwa tz mnapotea

Kuna vitu kama historia ya jeshi vinaplay part kubwa kwenye moral jeshini maana huwezi kua congo kazini alafu mnajua kabisa watangulizi wetu hawajawahi pigwa lazima uende mbele tena kwa kujiamini na kwanza cdf mpaka koplo hakuna anyekubali kuacha rekodi mbovu bora ufe remind you jeshi letu linafanya kazi kama one body halina maslahi binafsi Bora ufe ushindi uwepo

Kuna kitu kama umoja wa nchi unaplay part kubwa jeshin

Kitu ambacho kinaweza upgrade uwezo wa majeshi yetu ni mifumo ya technology ya kujilinda sio aina ya silaha no ni mifumo kwanzia ya utendaji na ya kisayansi sio silaha gani unayo wakati wenzio wanamifumo ya kujilinda na kujiami na silaha vita na kimifumo ya utendaji sisi tuna nyota tano toka kitambo ndio maana huwezi elewa profile ya jwtz mpaka kesho utaishia kusema tuna aircraft 32 ungejua tu

Pia vita achana na jeshi vita inabase kwenye idara zenu za ujasusi na tanzania kwa idara ya ujasusi iliyofanikisha operation nyingi sisi tupo top 3 nyinyi hata top ten sizani remind you ukisikia tumepiga vita za ukombozi na kusaidia kusuka nchi nyingi kusini kwa maana nyingine ile ilikuwa ni sehemu ya kukuza idara ya ujasusi na kote tulikopita tunakujua A to Z hata congo vita tumeshaimaliza kinachondelea ni ujasusi tu na sisi ndio baba yao maana sisi ni wakongwe tokea 1970s tulishaanza kuzijua nchi zingine huku sisi hakuna muafrika aliyetuingilia ulivomuona president wao anakimbilia kusalimu tz na bado raisi wetu hakwenda kwenye uapisho na wenu alienda basi ujue ni utii au heshima au shukran ya kuonesha uwepo wako

Tuishie hapo ila nyie kivita au kijeshi meza ila chungu mnahitaji ku level up na ndio kwanza mnatatua ukabila sijui mental stable ya jeshi lenu kureflect unite ya wananchi ili na wao wawe unite itafika lini

Tanzania sio level yenu kwa sababu ya ukombozi wa kifkra,ukabila,kutawaliwa ,kutegemea au kujishusha hiyo tulishajikomboa kitambo hiyooo kinachotueka meza moja kila siku na nyie au nchi nyingi za africa ni umaskini wa kipato jambo ambalo tumeanza kulimaliza soon utaelewa tu na ni vyema ukaelewa mapema maana kadri tz inavokua ndivyo na nyinyi wadogo zetu mnapata mfano wa kuiga..
Mkuu hawa vilaza hakunaga hata haja ya kutumia nguvu nyingi kuwaelewesha,kwani ukweli wanaujua sema unyang'au wao tu ndio unaowasumbua,ila sio mbaya kwa darasa ulilowapa leo
 
Sasa tangu lini silaha za AU zikawa za Kenya? Akili yako iko sawa kweli?
Kama kawaida akili yako ilivyo na matatizo, picha zote hizo zinazungumzia silaha za KDF na mwanajeshi wa KDF aliyetekwa na Alshabab, badala ya kuzungumzia silaha za KDF unakimbilia AU, kwani nani wanaotumia silaha za AU huko Somalia?
 
Sasa tangu lini silaha za AU zikawa za Kenya? Akili yako iko sawa kweli?
by that tym baada ya kuingiakichwakichwa pekeyenu na kula kichapo cha mbwa kachoka mkaamua kujiunga na au na kamanda akapewa mkenya na kambi iliyopigwa ni ya kenya,
kwa kweli mtudhalilisha sana kwani kilichowatoa kuuongoza majeshi ya AU ni nini?

"jeshi lenu ni dhaifu kiuongozi, kiutendaji hata ki medani pia
punda hata umchore na rangi hawezi kua zebra

na huo ndio ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom