Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani amekuambia zile nguzo ni fixed? Let's start from there.[emoji23][emoji23]
Your render was perfect floating bridge but what happened after only uhuru and his companions know..

images (82).jpeg
EnKGHQnXUAE1HQZ.jpg
 
Ndio utaona kwa wakenya[emoji23][emoji23][emoji23] Expressway ni 27km na inajengwa for 24 months[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], sasa bridge ya 450m ndio itatushinda?
Uhehheh mzee bridge sio sawa na barabara bridge ni juu ya maji kazi yake sio kama unakula githeri🤣🤣🤣🤣🤣🤣

ndio maana hii iliwaumbua 🤣👇👇
A1370BE4-0E84-4049-8C1D-CCD9F420CFD2.jpeg
 
Ebu nikuulize kitu, how do you think ships will pass there kama hiyo bridge haimove? Please tell us[emoji23][emoji23]
Si kuna mlango but that door doesnt make the whole bridge floating bridge..

But becouse kenya need attention to the world they call itself the floating bridge while their bridge has fixed support..
 
Since Independence hadi leo mnazungumzia "dams, hunger, slums na maji ya kunywa katika miji na majiji?, na bado mnajisifia kwa kujengwa jengo refu na private sector wakati serikali inashindwa kutoa huduma muhimu za kijamii. Kweli ninyi ni kichekesho.
Nkulize nyinyi nmefanya nini kwa kuwa you are one of the most poorest country in the world,,tena huko bado watu wanaishi kwa uswazi nyumba za 18th century,🤣🤣
 
Si kuna mlango but that door doesnt make the whole bridge floating bridge..

But becouse kenya need attention to the world they call itself the floating bridge while their bridge has fixed support..
That part is what is giving likoni the floating name. Kwani wewe ulitaka hiyo bridge ifloat yote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Mbona unafikiria kama kondoo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Wewe huoni hizo pillars ni concrate? Pillars za likoni ni concrate?[emoji23][emoji23][emoji23]
kwa jinsi ulivyo chizi hata hii utaweza kuiita floating bridge kisa ina move[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

alitekuzaa kapata hasara kubwa sanaView attachment 1647357
 
Back
Top Bottom