Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unataka tupiganie migingo kwani nini iko huko? We are aiming for oil wells along Somalia coastline wewe unakuja na mambo za migingo, huko hatuezituma hata watchmen
Juzi hapa mkaomba poo kwa ethiopia baada ya kuwatungulia videge vyenu kule somalia mkaona mumuite pm wao hapo kunyaland ili mumuombe asiwe anatungua ndege zenu zinazoenda kuuza mkaa somalia
 
Kwanza Nawashangaa wanao kujibu Kilaza kama wewe
Yaani Unakula Matapishi yako mwenyewe ! Kha
Nilisema humu hoyo machozigesi Wa Tz tunafeli sana kuendekeza ujinga wake. Coz mara aseme ni Jeshi la kenya mara baada ya kukamatwa kua amesema uwongo saivi anasema tena military poverty na ushuzi wake.. yoh Tz we gotta do better with this dude
 
Hakuna shida ya maji katika miji na majiji, mijini maji ni 85% vijijini ni 74%. Hatuna shida ya chakula, tunazalisha zaidi ya mahitaji yetu na tunawauzia chakula, hatuna shida ya slums, hatuna shida ya crime wala rushwa, hayo ndio mambo ya msingi kwa binadamu, sio majumba marefu
Na huo uswazi 80% of dar,,bado mwajivunia😄😄
 
Kwani nimedanganya? Hizo silaha hazijazeeka?
tupate wazamin kidogo....
20201212_092938.jpg
20201212_093044.jpg
20201212_093134.jpg
 

Attachments

  • 20201212_092938.jpg
    20201212_092938.jpg
    95.9 KB · Views: 9
Hahahawazee wa denial mpo..
Yani hawa jamaa kw kupinga tu hawajambo..
Mi wala sicheki hzo nyuma ila nawashangaa wazee wa tz wanaokata kila siku km kwao hakuna nyumba za ubati juu chini..

View attachment 1647676View attachment 1647677View attachment 1647678View attachment 1647679View attachment 1647680

Kwa mujibu wa Utafiti wa African Urban population, Tanzania has a bigger slum population than Kenya. Lakini kwa sababu ya propaganda ya CCM, wananchi bongolala huko Tanganyika hawajui hizi facts. Wanafikiria eti hawana slums lakini on the ground wana slums kibao zaidi ya Kenya.

12752170_1272373310164198slummiejpeg5bc74b217fc71e743256eb117c297b89jpegf7b2fea94750d28418635...jpeg
 
Back
Top Bottom