Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Manta resort floating resort only in TZ...
images (69).jpeg
 
Mtu anayekwambia hiyo bridge ni 120m haelewi 120m ni nini, mwelezee uwanja wa mpira ni average 100m long alafu afanye hesabu nyanja za mpira zinaweza fit hapo ngapi.
We kweli kiande, ss 120 na 100 zimezidiana ngp mpk useme zitaingia ngp kwenye 120? Wakenya hamjui hesabu mmeng'ang'ana na masomo ya Arts tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
1)Vita vya ukombozi kusini mwa Afrika
2)Vita vya Sychelles
3)Comorro
4)Uganda
5)DRC (M23)
6)Vita vya ugaidi Mozambique

Who is next?
1)Boko haram?
2)Alshabaab?
3)KDF?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio sekta yako, namuonea huruma uyo demu Teargass jinsi unavyomchezea mwili wake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mlevi anasema 12month sijawah kuona bridge inajengwa kwa 12months ikiwa ni 450meters [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio utaona kwa wakenya[emoji23][emoji23][emoji23] Expressway ni 27km na inajengwa for 24 months[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], sasa bridge ya 450m ndio itatushinda?
 
Daraja hili ni la ghali kuliko bajeti ya wizara ya utalii ya Tanzania. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Inawezekana ikawa kweli daraja la gharama kubwa but value for money ikawa haijazingatiwa, 1.7b ksh af ndo mnajengewa uhalo huo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom