Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika watu ambao naona wanazeeka vibaya humu kwenye huu uzi ni wewe. Kadri siku zinavyokwenda ndivyo akili yako na comment zako zinazidi kuwa mlenda mlenda tu. Sijui ni hiyo kazi yako ya lindo inachosha sana akili ama vp? Umebaki ku-boast tu.
babayao255 naomba uweke ile picha ya watchman please
 
So unajua zaidi ya wale wenye waliwaweka fourth strongest army in East Africa after Ethiopia, Kenya and Uganda?
we unategemea uwekwe.....kweli akili ya matope ni matope tu....pambaneni na hali yenu si mpaka uwekwe....

hata izrael haijawekwa hata top 15 ya majeshi duniani,ila kamguse uone ndiyo utajua hizo namba zinamaana gani
 
Mlevi anasema 12month sijawah kuona bridge inajengwa kwa 12months ikiwa ni 450meters

Sasa tatizo unabisha mpka unawehuka, kw proffeseion gani uliyonayo wewe ya madaraja mpka unaamua kuonekana chizi peupe
 
We kweli kiande, ss 120 na 100 zimezidiana ngp mpk useme zitaingia ngp kwenye 120? Wakenya hamjui hesabu mmeng'ang'ana na masomo ya Arts tu
We pia umeamua kuingiankatika kundi la kujitoa ufahamu km mwenzako jichoboy
 
babayao255 naomba uweke ile picha ya watchman please
IMG_20201211_163549.jpg

teargass🤣
 
Back
Top Bottom