Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si mlete yenu, mbona kuleta picha za nchi zingine?. Mimi siezikuletea picha za ndege za nchi zingine just because zinafanana na zetu, be proud of your items broh
The reason they cannot show their military planes is because most of them are old and out of service. Ziko tu Kwa scrap yard, they never fly . 😂😂
Ebu watuonyesha picha za Ndege zao wakati zinatumika na majeshi yao, sio kwenda Kwa Google na kuleta picha za wazungu eti ni ndege za Tanzania🤣🤣
 
Tanzania has never won any fight that's a fact, you hide under big boys and then you claim that you won. In Uganda it's Israelites that defeated Iddi Admin and not Tanzanians. Nyinyi kazi yeni ilikuwa kuiba ndege zao tu
Sasa kama hatjawahi shinda then ipi tuliyo pigwa?
 
Wamezoea sana kuiba picha za nchi zingine
The reason they cannot show their military planes is because most of them are old and out of service. Ziko tu Kwa scrap yard, they never fly .
Ebu watuonyesha picha za Ndege zao wakati zinatumika na majeshi yao, sio kwenda Kwa Google na kuleta picha za wazungu eti ni ndege za Tanzania
 
Malizeni na hawa kwanza

This was grave mistake they will regret to the end of their lives, the same mistake was done by Idd Amin when he invaded and killed our people, the rest is in the books of history.

Now the insurgency northern part of Mozambique is almost a history. Our Army is the among very few armies in Africa which are very effective, never loses any war.
 
The reason they cannot show their military planes is because most of them are old and out of service. Ziko tu Kwa scrap yard, they never fly .
Ebu watuonyesha picha za Ndege zao wakati zinatumika na majeshi yao, sio kwenda Kwa Google na kuleta picha za wazungu eti ni ndege za Tanzania
Ati Airbus Helicopters H225 ni old!

Hivi unafahamu bei yake? Au uko hapa kuandika panganga!
 
Ingekuwa labda Tanzania haina hizo Airbus Helicopters H225 ungekuwa sahihi kuandika huu ujinga hapa ila kwa sababu Tanzania inazo hapa unazidi kuonesha namna uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo.
Rudisha hii picha penye ulitoa. Mbona usiweke picha za zile zenu
tapatalk_1607672844836.jpeg
 
Malizeni na hawa kwanza

One thing I can say about machozigesi ni kwamba anajikuta kwamba anaingia under our skin na kuleta mada zilizo pitwa nawakati and everyone knows are things that are already dealt with na ana jikesha eti ili kupunguza uzito upumbavu anao tuma humu ndani... unatutumia vitu vya october wakati tupo December.. na ninakuambia huchomoki mpaka ukimbie humu ndani mamamae..
 
Ukiona hivyo ujue kuna spana alikazwa kwa hiyo kupost kwake hivo vitu ni moja ya mbinu yake kupooza maumivu ya kukazwa spana
 
Halafu ni kama hawalipendi na hawako proud nalo.

Walivyo washamba na wanavyo penda sifa bila kusahau ulimbukeni...kama wangekuwa wanalipenda wangekuwa wanalipost ovyo bila kusahau "super bridge" "one and only in Africa"
Watafanyaje sasa😂😂😂.. hawana pakuchomokea zaidi yakuji fariji
 
Capitalist kila mtu anafight kivyake wapi,,
Serikali haina hela na wachina hawataki kuwekeza kwenye bus stand!!!
Kama ni capitalist mbona Airport hamjawaambia kila company ijenge airport yake??
Akili km hizi ndio ccm wanatmzitaka sana
 
Back
Top Bottom