NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,025
- 19,205
Mtu anayekwambia hiyo bridge ni 120m haelewi 120m ni nini, mwelezee uwanja wa mpira ni average 100m long alafu afanye hesabu nyanja za mpira zinaweza fit hapo ngapi.
Mtu anayekwambia hiyo bridge ni 120m haelewi 120m ni nini, mwelezee uwanja wa mpira ni average 100m long alafu afanye hesabu nyanja za mpira zinaweza fit hapo ngapi.
Pressure itauwa huyu jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji23], sasa ameenda kubishana na watu huko twitter.Wah, huyu atapata ugonjwa wa moyo juu ya Kenya sasa.
Pressure itauwa huyu jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji23], sasa ameenda kubishana na watu huko twitter.
[emoji24][emoji24][emoji24] kama popo kweli.Nahisi hali ya usalama hakuna au ni ndogo NAIROB na Kenya.
Plus, I think he's also idle most of the time. I wonder where he gets all this energy from!
Na ni wapi uliambiwa kwamba Outering Road haipitii Umoja? Tatizo ni kwamba unajifanya unajua Nairobi kuliko sisi wenyeji
it’s. ipo tokea 2013? and is it over 1km flyover straight?
[emoji23][emoji23][emoji23] Hata heri ungenyamaza tu, hiyo barabara ilijengwa 2013[emoji1787][emoji1787]
read here
View attachment 1646570
Na expect kuona kenya na ww ushaona nchi gani apart from kenya haian bus stand?You reason like a toddler[emoji23][emoji23][emoji23], wewe ushaiona nchi gani raia wake wakijenga airports?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Limeweza kuwashinda magaidi huko Msumbiji ndani ya wiki mbili, magaidi waliosumbua majeshi ya Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu na kuteka eneo lenye ukubwa sawa na nchi ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]Jeshi la Tanzania ni maskini kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
The last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Limeweza kuwashinda magaidi huko Msumbiji ndani ya wiki mbili, magaidi waliosumbua majeshi ya Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu na kuteka eneo lenye ukubwa sawa na nchi ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakudanganya Kenya hakuna bus stand?[emoji23][emoji23][emoji23]Na expect kuona kenya na ww ushaona nchi gani apart from kenya haian bus stand?
@ModeratorMamako, ambia moderator aniban sasa[emoji23][emoji23]
You are just proving how dumb and desperate you are. Can't you see you are still proving my point to be correct?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
@Moderator
Ujenzi huwa inaanza after which stage?[emoji23][emoji23]so ulivyosoma.. kuwa approved na kujengwa ni kitu sawa?
Sisi hatuwez jenga huu upuuzi mzee sisi tunafanya wonders 🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 1646469View attachment 1646470
Ww umetudanganya kwamba private ndo wanajenga terminal zao na lounge kwasababu nyie ni capitalist;;; kumbe reason hamna helaaaaNani kakudanganya Kenya hakuna bus stand?[emoji23][emoji23][emoji23]
The last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]