Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi sio watu wa makaratasi, kazi ya jeshi ni kushinda vita, tumeshawasambaritisha magaidi Mozambique, who is next?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongelea Mozambique wakati magaidi wako ndani ya Tanzania[emoji23][emoji23][emoji1787], mnawaogopa kama moto[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]

1)Vita vya ukombozi kusini mwa Afrika
2)Vita vya Sychelles
3)Comorro
4)Uganda
5)DRC (M23)
6)Vita vya ugaidi Mozambique

Who is next?
1)Boko haram?
2)Alshabaab?
3)KDF?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania has never won any fight that's a fact[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787], you hide under big boys and then you claim that you won. In Uganda it's Israelites that defeated Iddi Admin and not Tanzanians[emoji23][emoji23][emoji23]. Nyinyi kazi yeni ilikuwa kuiba ndege zao tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kaibeni na nyie kama ni rahisi 😂😂😂😂🐒unafkiri ni mikate na icecream ya Westgate au mikaa ya somalia?
 
Hawa ni Alshabab waliokamtwa na KDF?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini wanajeshi wa Mozambique wakawa wakawa wa Tanzania?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787], Ebu nijibu hiyo swali, tangu lini?[emoji1787][emoji23][emoji23]

IMG_20201210_235445_261.JPG
 
Eti leo 450meter bridge wajenge kwa 12 month hawa watu wanalaana 🤣🤣🤣🤣 daraja la 120m wanakwambia 450m
 
Tanzania has never won any fight that's a fact[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787], you hide under big boys and then you claim that you won. In Uganda it's Israelites that defeated Iddi Admin and not Tanzanians[emoji23][emoji23][emoji23]. Nyinyi kazi yeni ilikuwa kuiba ndege zao tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na iddi amin uganda ilikuaje??? Kagera war

kaibeni na nyie kama ni rahisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205]unafkiri ni mikate na icecream ya Westgate au mikaa ya somalia?
Mbona tuiba wakati Kenya have five 150 military aircrafts, ama unadhani tuko na 34 kama nyinyi?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Tanzania has never won any fight that's a fact[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787], you hide under big boys and then you claim that you won. In Uganda it's Israelites that defeated Iddi Admin and not Tanzanians[emoji23][emoji23][emoji23]. Nyinyi kazi yeni ilikuwa kuiba ndege zao tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iddi Amini alipigwa na KDF, hawa hapa KDF wanampiga Idd Amin[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi
Toa ujinga hapa[emoji23][emoji23][emoji23]. Here's the list of strongest armies in East Africa, kama hukubaliani nayo unaezachapisha list yako[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
1. Ethiopia
2. Kenya
3.Uganda
4.Tanzania

Soon South Sudan itawapita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hata south sudan watupite on paper hatuna shida on the ground hakuna nchi inaweza kujicompare na sisi...

Hata IDDAMINI alikuakua na jeshi strong kuliko TZ on paper lakini muulize alivoingia ground alikutana na nini TZ..

Jeshi la TZ ni unmatched kwa AFRICA lakini sio la matangazo mengi nadhani hata juzi mlimsikia JPM.
 
Nyinyi hsmkushinda Vita yeyote[emoji23][emoji23][emoji23]. Alafu tuma links zenye zinaezafunguka, usidhani huwa sisomi hizo links[emoji23][emoji23]
Ww ndio unasema au ww ndio msemaji wa jeshi la tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila waliokuwepo kipindi kile ni kwamba idd amin alipigwa na tanzania asubuhi mapema 🤣
 
Mbona tuiba wakati Kenya have five 150 military aircrafts, ama unadhani tuko na 34 kama nyinyi?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Kitu kinachokufanya kua mjinga kuliko wengine ni kujifanya kila kitu unajua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alaf kumbe sasa ni kiazi
 
Mbona tuiba wakati Kenya have five 150 military aircrafts, ama unadhani tuko na 34 kama nyinyi?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
150 crafts and yet mnaendelea kukatikia mb oo za alshabab mwaka wa 10 huu
 
Hatujainyanganywa Tank venye mlinyanganywa kule Mtwara[emoji23][emoji23]
kitugani kilikufanya uamini ile apc ilkua ya tz? leta evidence hapa!!

vipi el ade mlipoteza humvee ngapi? apc ngapi? bunduki ngapi? wangapi waliolewa na alshabab?
yani alshab 40 wakateka kambi nzima watu 300 wakafa 200 wakaolewa 100 wakatoroka wengine had leo awajulkani walipo 😂😂🐒🐒🐒🐒 tafadhali usifananishe jw na izo takataka zenu huko ni kukosa heshma kwa shemwako(mme wa dadaako.
 
Back
Top Bottom