Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viongozi wa Tanzania wanakuja hapa Kenya kukodisha Helicopters
Viongozi wetu hapa Kenya wanasafirishwa Kwa Ndege Kubwa Kubwa za kisasa.

Nyie maskini wanyonge wa Tanzania hamuwezi kuafford Ndege za haina hii.

 
I can't pretend to be stupid like them. Kwanza that low-IQ guy called ichoboy01 really pisses me off. Anyway wacha nikuwachie hawa watu. Me I can't deal with them.
Ichoboy mimi huaga nampandisha alafu naachana nae kw mda flani kidogo, jamaa huaga ywapenda ujinga..kwanza ukimfuatizia ndio basi, conversation yani itajaa ujinga mtupu na emojis bila facts..

Ila wewe kidogo naona hupendi hayo mambo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The real one
EovGFVKXEAAa1sW.jpg
EovGDP3XMAEanI-.jpg
 
And you what do you know a part being beaten by your girl
"do you know a part being beaten by your girl"❌
"do you know apart being beaten by your girl"✔️

Once again mr.broken that "a part" made your sentence meaningless,you'd use "apart"
 
Kama hii ndio kitu new basi heri ikaeView attachment 1645782
Hivi wewe unavyoonesha hizi accidents huwa sielewi hasa points yako, ina maana ndio kwa mara ya kwanza duniani kunatokea accident Tanzania? Ina maana Kenya hakuna mechanics repairs and replacement? Hakuna auto parts business? Hakuna accidents kabisa?

Em Punguza utoto angalau uwe unajadili kama mtu mzima kidogo.
 
Kipimo kikuu cha mtu mwenye akili ni kuwa na pesa,huwezi kujiita una akili na huku pesa huna,unajiita una akili na huku umasikini inakuandama!?? 😀🤣😆 How!?
Nilikuwa nazungumzia kuhusu Ichoboy au mimi? Nilikuwa naongea kuhusu Ichoboy sasa wewe umegeuza mazungumzo unaanza kuongea kunihusu? Uwezo wako wa kufikiria uko chini sana.
 
Yani unaanzaje kutafuta kampuni zote za mabasi na wakati hata online unakata tikiti yako na mida ikifika unatumia usafiri wowote ule kufika kituoni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wafugaji kule Turkana ambao hata chakula hawana wanategemea misaada, zaidi ya lugha yao ya kabila, hawajui lugha yoyote, wataweza kukata ticket on line?

Basi za Nairobi Taita Taveta, au kwenda Kajiado na Namanga, au kwenda Sirari au Machakosi watakata online?.

Ok, wakishakata online ticket, watalazimika kuzunguka na kutafuta ofisi ili waweze kupanda bus ili waanze safari?. Vipi kuhusu wageni wanaotembelea Kenya ambao hawajui lolote kuhusu buses na wanakokwenda, wapi wataweza kuuliza na kujua buses zinazokwenda huko unakokwenda?, ninyi ni failed state kabisa, nchi yenu haipo "organized kabisaa".

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hii phase 3 naisubiri kwa hamu sana,ila wafanye kweli maana nyerere road ndo mlango wa nchi,yaani mtu akitua pale t3 akitoka nje anakutana vitu classic hadi city centre
Nahisi watajenga special BRT terminal itayoingia terminal 2 na 3 alfu zitakuwa na mabus ya Express yanakutoa Airport hadi City Centre direct bila ya foleni
 
Back
Top Bottom