Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]somo limekuingia vyemaView attachment 1645816
Huwezi pindisha ripoti za engineer[emoji23][emoji23]
Zimekaa miaka kumi sasa na zitazidi kukaa..
Yani kaa ukijua tangia miaka kumi iliyopita pangani ipo..we ukitaka nenda mahakamani ukafungue kesi mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi pindisha ripoti za engineer[emoji23][emoji23]
Zimekaa miaka kumi sasa na zitazidi kukaa..
Yani kaa ukijua tangia miaka kumi iliyopita pangani ipo..we ukitaka nenda mahakamani ukafungue kesi mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku utapata three level kenya nzima mm nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wazungu wa wapi hao jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwann uhuzunike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

Leo si unateseka sana, tena kumbe umeleta wale wale jamaa wako waliopigwa km nyie[emoji23][emoji23]
Screenshot_20201210-000651_YouTube.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ndio unayo lakini akili huna. Kweli Mungu hawezi kubariki mja kwa kila kitu.
Kipimo kikuu cha mtu mwenye akili ni kuwa na pesa,huwezi kujiita una akili na huku pesa huna,unajiita una akili na huku umasikini inakuandama!?? 😀🤣😆 How!?
 
Leo ndo nimejua jinsi BRT inavyowatesa wakenya,kudos kwa mh jakaya kikwete,kajua kuwakamua mungiki
🤣🤣🤣🤣🤣 watabakia na kale kamsemo sisi tunajenga BRT leo miaka mitatu alaf jubilee ilivokuja kuwavunja nguvu wameletewa used DMUs ili iwafariji 😅😅
 
Back
Top Bottom