Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio sababu ninyi ni failed state, kwahiyo kama kuna kampuni 300 kila kampuni lina ofisi yake, abiria anapaswa kutafuta na kujua ofisi zote 300 zilipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Yani unaanzaje kutafuta kampuni zote za mabasi na wakati hata online unakata tikiti yako na mida ikifika unatumia usafiri wowote ule kufika kituoni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kalilie ndani....ukimaliza ukumbuk nyie hakuna kitu mnaweza nunua new apart from used one[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hii ndio kitu new basi heri ikae[emoji23][emoji23][emoji1787]
hqdefault-2.jpeg
 
Yani km mtot [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani hujui hiyo ni mashine na inaharibika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Now that is the stage we call it scrapper[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa nikiita mabasi zenu scrappers usikasirike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa akili yako level huwa chini ya ardhi!??..nyie mbona vilaza sana!!..ile ya ardhini ndo level ya kwanza ndo huitwa ground level,inayofuata ni level ya pili kwenda juu,ile ya chini ya ardhi si level,ila inaitwa below the ground level,huitwa tunnel..jifunze maana ya neno "level" acha bishani za kijinga
Acha kudandia treni kw mbele wewe, alafu mbna unajichanganya we bwege kumbe wajua kuna below ground level na ground level kisha hapo hapo unataka kukataa..

Haya toa neno level katika "below ground level" km hutaki iitwe level..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudandia treni kw mbele wewe, alafu mbna unajichanganya we bwege kumbe wajua kuna below ground level na ground level kisha hapo hapo unataka kukataa..

Haya toa neno level katika "below ground level" km hutaki iitwe level..


Sent using Jamii Forums mobile app
So unapohesabu from the ground unaanza kuhesabu kwenda juu au chini 🤣🤣🤣🤣 yani jibu liko wazi sijui wapi unakwama
 
So unapohesabu from the ground unaanza kuhesabu kwenda juu au chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani jibu liko wazi sijui wapi unakwama
Logic yako unayotaka kutumia basi ubungo itakua ni two level[emoji23][emoji23][emoji23]
Manake unalazimisha tuhesabu ki floors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom