Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna unakwepa swali, umeambiwa NAMATA ndio nembo ya mabasi yetu sasa wewe km unajua sana reverse hyo picha manake naona umeshindwa kuleta nchi ambayo inatumia hilo jina kw mabasi yao ya BRT
Mpuuzi ww, unapenda sehemu safi eehh, jengeni co kuiba area za watu.
 
Hivi cost ni sh ngap maana naona $600mil.kama kidogo for 27kilometers

Ubungo imecost 99mil usd...of couse ni 6 lanes labda ndo maana
.na pia imehusisha kujenga madaraja ya chini manne apart from the interchange ..
Hii expressway sio kilomita zote ni flyover. Kuna kilomita ambazo zipo chini na kuna ambazo zipo juu. Halafu cost ni $670 million.
 
28835Hanging-Wooden-Cross.jpeg
 
Bahati yako, I don't abuse women in my life,
ATCL owns a fleet of brand new 11 Planes plus 5 on order, KQ owns 3 aircrafts, a reason of massively making loses over a century,
By the way, av been flying with KQ in most of my trips to Nairobi, they are good kwa onboard Services. Only corrupt management is what fails Kenyans.
Nyie mbona hamna huduma ya ndege inayofika Nairobi? Anza kuringa ile siku ndege zenu zitaanza kukatiza anga kuja Kenya. Lakini kwa sasa sisi hatutabishana na vitoto ambavyo ndio kwanza vinajifunza kukatiza anga nje ya nchi yao. Hata South Africa bado hamfiki wakati sisi tunafika USA?
 
Mwana nenda maeneo yafuatayo kuna Jambo

Kiwanja kizuri.

Bonasera karibu na NSSF Tourism Hotel U/G ulipokuwa Bank M.

Projects.
Nyegezi Bus Terminal
Nyamhongolo Bus Terminal
Mwanza International Airport
Mwanza Central Market(Tanganyika Bus)

Boats
Mwanza South-Mv Hapa Kazi Th

Ilemela
Ilemela Municipal Building
Usisahau kuna project ya Tanga bus stand pia

sasa hivi linajengwa jengo la kitega uchumi
 
Bahati yako, I don't abuse women in my life,
ATCL owns a fleet of brand new 11 Planes plus 5 on order, KQ owns 3 aircrafts, a reason of massively making loses over a century,
By the way, av been flying with KQ in most of my trips to Nairobi, they are good kwa onboard Services. Only corrupt management is what fails Kenyans.
Naona umekuja kinafiki sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom