Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale wafugaji kule Turkana ambao hata chakula hawana wanategemea misaada, zaidi ya lugha yao ya kabila, hawajui lugha yoyote, wataweza kukata ticket on line?

Basi za Nairobi Taita Taveta, au kwenda Kajiado na Namanga, au kwenda Sirari au Machakosi watakata online?.

Ok, wakishakata online ticket, watalazimika kuzunguka na kutafuta ofisi ili waweze kupanda bus ili waanze safari?. Vipi kuhusu wageni wanaotembelea Kenya ambao hawajui lolote kuhusu buses na wanakokwenda, wapi wataweza kuuliza na kujua buses zinazokwenda huko unakokwenda?, ninyi ni failed state kabisa, nchi yenu haipo "organized kabisaa".

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwn uliskia hakuna usafiri wa kukupeleka stage za mabasi, mbona una wehuka we jomba..
Zipo sehemu maalum ambazo utakuta ofisu za mabasi zimetapakaa..

Yani hyo yote unaskia uchungu kuona capitalist kila mtu ana fight kivyake kukuza uchumi wala hatutegemei kila kitu kutoka kw serekali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ww huna akili nitajie kiongozi wa serekai aliekodi ndege ya kenya
View attachment 1645904
Hii ni ndege ya Tanzania?
irod7rovchgd15638442dc8efd.jpeg
chopa-pic.jpeg
 
This should have been the design ya TAZARA

tatizo ni space! every corner of the junction kuna majengo ya makampun ya watu.. ila nafikiria ipite flyover nyingine inaanzia kule daraja la bugurun ivuke hadi sgr viaduct na flyover ya sasa.. itokee kule mbele sokon kama unaenda uwanja wa taifa
 
Back
Top Bottom