Leta official page nasubiria 🤣🤣🤣🤣Mtwara port ni white elephant ama unapinga nikuletee data?
Mtwara port is mainly for Dangote cement, Korosho za Mtwara, Coal, LNG na nchi za Malawi, Zimbabwe na Zambia.
Wewe siwezi kudebate na wewe maana hauheshimu facts wala evidence.Leta official page nasubiria 🤣🤣🤣🤣
Hahaha. Sasa kama mtu anapinga facts unataka nimuite aje?Tony sio vizur mkuu kuwaambia watu hawana akili it doesn't make you superior.
on the other hand i can decide to engage you in a convo and show you how unexposed or ignorant you could be but i wont because its the 'rule for the wit'.
LOL nampenda sana huyo wakili wa NeriaJibu swali bwana Kashande... Hapo ni Kenya!? 🙂
Unajua maana ya "white elephant?"Hio explanation yako haibadilishi ukweli kwamba hio port ni white elephant.
White Elephant= Something useless, too expensive to dispose or to maintain, very difficult to convince people to use it because is very costly, is Mtwara port fits in either of these?,Hio explanation yako haibadilishi ukweli kwamba hio port ni white elephant.
Mradi ambao hauleti mapato ya kutosha kwa nchi. Failed project. Hio port yenu huwezi kuniambia kuwa inapakua mizigo nyingi kiasi cha kuifanya iwe a viable project.Unajua maana ya "white elephant?"
Fikra za kichawi hizoBomoeni muanze upya kama nyinyi wanaume kweli ???![]()


.Nani amekuambia kuwa Lamu port ni costly kumaintain? Nani amekuambia kuwa itakosa customers ikiwa Maersk wameshatia saini mkataba kuitumia Lamu port for trans-shipment. Halafu utaitaje white elephant mradi ambao bado haujakamilika?White Elephant= Something useless, too expensive to dispose or to maintain, very difficult to convince people to use it because is very costly, is Mtwara port fits in either of these?,
Hahahaha, ni ghali sana kwa Ethiopia kutumia Lamu port, wao ni cheap kutumia reli hadi Djibouti. Ujenzi wa Lamu port umegharimu pesa nyingi sana, kama ilivyokua SGR, kwahiyo lazima watatoza bei kubwa kama ilivyo kwa SGR na DMU, "Kenyan projects are not competitive at all"Nani amekuambia kuwa Lamu port ni costly kumaintain? Nani amekuambia kuwa itakosa customers ikiwa Maersk wameshatia saini mkataba kuitumia Lamu port for trans-shipment. Halafu utaitaje white elephant mradi ambao bado haujakamilika?
hako kamanzi kanatumia pombe kali.
Mwana nenda maeneo yafuatayo kuna JamboJamani nipo mwanzaJiji limejengeka hatari nimekuja na hichi chuma
Tony254 karibu
View attachment 1645390
Picha la kutisha... Starring anaibukia baharini huku ardhi kwenye fukwe na maeneo ya karibu vikitikisika kama tetemeko la ardhi