Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy, joto la jiwe

tapatalk_1607510580907.jpeg
tapatalk_1607510456940.jpeg
 
You are confused. You are saying that $56m is too low and at the same time you are saying that if it was Kenya building the BRT tungetumia twice the amount Tanzania ilitumia. So if I may ask, is $56m twice $180m?
Huna akili wewe, mbona Tony254 ameelewa nilichotaka kumaanisha, huwezi kudebate na watu wenye uwezo mkubwa wa akili, huwa tunakubeba tu lakini uwezo wako wa akili ni mdogo sana, ina maana umeshindwa kuelewa nini nimemaanisha?
 
Huna akili wewe, mbona Tony254 ameelewa nilichotaka kumaanisha, huwezi kudebate na watu wenye uwezo mkubwa wa akili, huwa tunakubeba tu lakini uwezo wako wa akili ni mdogo sana, ina maana umeshindwa kuelewa nini nimemaanisha?
Unaongelea (nonsense) kitu enye hata haiko kwa article na unajigamba hapa ati huko na akili kubwa, wewe labda huwe na kichwa kubwa na siyo akili kubwa😂😂
 
Unaongelea (nonsense) kitu enye hata haiko kwa article na unajigamba hapa ati huko na akili kubwa, wewe labda huwe na kichwa kubwa na siyo akili kubwa
Akili kubwa inapimwa kwa uwezo wa lufanya "independent analysis not quotations", kama nilivyokuonyesha "how Lamu port shall turn to be white elephant".

Unanishangaza sana, umeshindwa kuelewa nini nimeandika wakati ninazunfumzia gharama za BRT Tanzania kwamba ni$180M, kwamba kama ingekua Kenya huenda gharama ingekua ni mara mbili ya hiyo $180M, unaleta habari za $51M ambayo haijatajwa kabisa katika hiyo post yangu. Hovyo sana wewe jamaa.
 
Hahahaha, kwa bajeti ya Kshs5.6B?. Hizo pillars ni kwa ajili ya stations na daraja za juu za watu kuvuka kwa miguu, hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye uwezo wa kujenga barabara za BRT zikiwa zimenyanyuliwa juu kwa zaidi ya Kilometers 50, kwa uchumi upi huo mlionao wakati hata hiyo inayoenda JKIA mtalipisha road toll?
Mbna hamueleweki jamani, mara mnakaataa hyo sio BRT sai unakuja kivingine unasema haiwezekani ikawa flyover..
Yani mchawi ni mchawi hata atibu lazima atarudi kule kule
 
Back
Top Bottom