xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
na almost 70% ya wakaazi wa nairòbi ni slum dwellers50% ya Nairobi ni slums, mita chache toka ikulu ni slums.
na almost 70% ya wakaazi wa nairòbi ni slum dwellers50% ya Nairobi ni slums, mita chache toka ikulu ni slums.
And better than this as well! 😀😀😀😀 PAMBANENI NA HALI YENU
Geza Ulole na The best 007 ndio hio BRT imeanza kujengwa. Soon pillars zitaanza kujengwa. Kama uonavyo foundation ya pillars zinajengwaKuna mshikaji kanitumia hizi picha kuhusu mradi wa brt Nairobi,mnachotakiwa kujua nikuwa Tanzania hatuna roho mbaya kama nyinyi😂😂😂tunawapa hongera,na kila kheri kwenye mradi huu wenu
Kwmb siku hz mnapishania kulia au coYou may think this is not Nairobi. Our buses will make yours look like toys. You are confusing NMS buses and BRT Buses
View attachment 1644837



Sasa utaskia the only one in Africa with.... Mlivyo na mbwembwe wakunya😂😂😂😂😂Geza Ulole na The best 007 ndio hio BRT imeanza kujengwa. Soon pillars zitaanza kujengwa. Kama uonavyo foundation ya pillars zinajengwa
englishKabisa usijali nikienda nje ya nchi utakua mkalimani wangu, ule usinibwage kw mambo na pronounciation jomba..
Au na wewe utawaambia hyo yako ni english pronounciation ya tz


Mkuu umepambana sn kuhusu uyu mtoto now ameanza kuelewaMiongoni mwa vilivyonileta hapa ni pisi kali, wewe upo kwenye scope ya interest zangu

Ila be care anaweza akawa old version huyu, mweusi kaa mpingo na aliyeparara, c unajuanga WakeiiiShobo zitakuponza baba..
Njoo mombasa basi





La. Hapo kwa Brt mlitutangulia bahati mbaya.Sasa utaskia the only one in Africa with.... Mlivyo na mbwembwe wakunya😂😂😂😂😂
Kwahyo hapa ni KenyaUnabisha km hayapo stone town, sema kwii nikuumbue sasa hivi





Mwanamke aliyevaa buibui au sketi ataweza kupanda hili toroli kweli bila kupasua sketi? Mbona zipo juu hivyo?Na hizi tuseme ziko miaka 100 nyuma ama?View attachment 1644153
Baadhi ya hizi basi zimeshawasili Kenya kutoka South Africa.
Hilo huwa linambeba Uhuru kwenda kuzindua white elephant zen inamrudisha



Jibu swali bwana Kashande... Hapo ni Kenya!? 🙂Baadhi ya hizi basi zimeshawasili Kenya kutoka South Africa.
Itakuumizaje kichwa wakati mnaziunda nyie wenyewe zen mna export kwetuZile sanduku hazieziniumiza kichwa hata kidogo, nimekuekea picha mbili za M3 ukapotea. Unaogopa ama nini?
![]()



Zinabeba mchanga au mkaaHizo ni lorry huku zinabeba mizigo ila sio watu




Mwenzako anasema ile picha ni NairobiBaadhi ya hizi basi zimeshawasili Kenya kutoka South Africa.


Sasa sikiliza hii kunguni inavyosemaBaadhi ya hizi basi zimeshawasili Kenya kutoka South Africa.

You may think this is not Nairobi. Our buses will make yours look like toys. You are confusing NMS buses and BRT Buses
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann musianze nyinyi kwanza mulioko mjini 🤣🤣🤣👇👇👇👇 aibu kubwa sana eti mumesoma sijui mumesoma nnHata Kijiji I magari kama hayo no ovyo Sana boss. Upgrade.