Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaaaa so mnaipaka rangi Thika road pale katikati zen mnaandika "only brt" naona kuna watu wanaenda kula pesa ya kutosha hapa.

Wakenya nawaonea huruma sana cz viongozi wenu hawana uzalendo kabisa, wamekurupuka ili kwenda sawa na Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri umeshakubali kimya kimya hayo mengine tunasema ni maruerue tu ya sindano zilizopenya
 
Naona sasa uchungu na wivu imeanza kuingia. Sasa ndio umejua kwamba sisi huku hatuchezi. Yaani tunajenga Brt iliyoinuliwa juu na wakati huo huo tunajenga expressway iliyoinuliwa juu.
Kweli hawa jamaa wana wivu, walikua wakipinga ujenzi wa BRT lkn sasa wanakataa km ni ya juu kw juu
 
Akili kubwa inapimwa kwa uwezo wa lufanya "independent analysis not quotations", kama nilivyokuonyesha "how Lamu port shall turn to be white elephant".

Unanishangaza sana, umeshindwa kuelewa nini nimeandika wakati ninazunfumzia gharama za BRT Tanzania kwamba ni$180M, kwamba kama ingekua Kenya huenda gharama ingekua ni mara mbili ya hiyo $180M, unaleta habari za $51M ambayo haijatajwa kabisa katika hiyo post yangu. Hovyo sana wewe jamaa.
$180m si kwenu ilkua mpka mabasi labda, kwetu hzo zimetolewa kw ajili ya ujenzi tu
 
Yes, 90% it is white Elephant. Ethiopia needs to pay Chinese loan, it cant use Lamu port because.
1)It must use its railway to Djibout to pay the Chinese loan, the same way Kenya forces all cargo to be carried by SGR
2) It is cheap to use railway than road.
3)Eritrea port is much closer than Lamu port.
Na ukumbuke kutoka kenya to southern part ya ethiopia ni karibu kuliko hko eritrea mpka southern ethiopia..

Ukumbuke ethiopia ni kubwa
 
Soma vizuri, madaraja ya kuvuka kwa miguu ni part ya hiyo Thika road BRT, ni sehemu ya hiyo Ksh 5.6B. Sisi tulijenga 21Km ya kawaida bila eleveted hata kidogo kwa $180M.

Hiyo Nairobi Express way bajeti yake ni kiasi gani?
Haya tuseme yetu ni ya chini wala sio ya juu kw sababu hata muundo hatujui upoje..

Hyo pesa unaionaje, iko mara mbili ya tanzania au vp?
 
Ruksa kiongozi
Hiki ni kituo cha kuku pia hko kwenu
images.jpeg-46.jpg
 
Kwani Kenya ndio itakuwa nchi ya kwanza kupaka rangi?This is Singapore
View attachment 1645398
View attachment 1645396
There is this saying that "simply because you can do something, that does not mean that you should do it". Mazingira ya Singapore na Kenya yanafanana hasa kwenye drivers ku-abide na sheria za barabarani? Kama hiyo ingekuwa rahisi hivyo mngeendelea kupaka lipsticks kwenye barabara zingine pia wala msingehangaika kukopa fedha kwa ajili ya kujenga mfumo wa BRT. Lakini inaonekana huo mfumo wa kupaka lipstick kwenye lami hamuuwezi ndio maana mmeamua kufuata mfumo wa BRT za TZ ambao unaendana na hali halisi ya watu wetu.
 
BRT lanes zitainuliwa juu kama tu expressway. Kwani unadhani kazi ya hizo pillars ni nini? Unadhani hizo pillars zinajengwa ili kuwa kivutio cha utalii? Baada ya hizo pillars kusimama basi barabara ya BRT itatandazwa juu yake na kwa hivyo tutakuwa na flyover ya Brt.
Tony unajua kuwa gharama ya kujenga public transport juu hata mataifa yaliondelea wankwepa?
 
Back
Top Bottom