NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Incoming...................
Mtwara ilikuwa na Berth 2 na bado ina berth mbili mpka sasa zenye urefu wa 385meters..Mradi ambao hauleti mapato ya kutosha kwa nchi. Failed project. Hio port yenu huwezi kuniambia kuwa inapakua mizigo nyingi kiasi cha kuifanya iwe a viable project.
Bonge la video,nmependa Sana iyo scene ya oysterbay na izo road zitakua pana zaidi,btw I wonder kwann wanaita mombasa cityPicha la kutisha... Starring anaibukia baharini huku ardhi kwenye fukwe na maeneo ya karibu vikitikisika kama tetemeko la ardhi



Mwendo wa broken tu .aisee whats constaraction?
...but progress nzuri...in coming years the road from St Peters ..kushuka mpka IST na road ya Masaki tu Msasani should atleast be 2*2 ili ku absorb trafficHili ni jengo ganiIncoming...................
![]()
Izo nyumba Ni pesa kidogo sana,construction site ni Tz tunajenga SGR, JN Hydroelectric Dam,BRT Phase II, Barabara kibaoKenya is a construction site right now. This are to be built in Kisumu and groundbreaking was done today.
View attachment 1645533
I am actually waiting for a new bridge ...at Jangwani...i think something is coming soonIzo nyumba Ni pesa kidogo sana,construction site ni Tz tunajenga SGR, JN Hydroelectric Dam,BRT Phase II, Barabara kibao
Sasa barabara mbili ndio barabara kibao?Izo nyumba Ni pesa kidogo sana,construction site ni Tz tunajenga SGR, JN Hydroelectric Dam,BRT Phase II, Barabara kibao



Affordable housing?Kenya is a construction site right now. This are to be built in Kisumu and groundbreaking was done today.
View attachment 1645533
Affordable housing?
Private au goverment ?Yeah
County Government.Private au goverment ?
SiWez ziainisha zote hapa...Ambazo ziko uc ni zaidi ya 2000kmSasa barabara mbili ndio barabara kibao?![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi usilie sasaWewe siwezi kudebate na wewe maana hauheshimu facts wala evidence.
Hakuna kitu hapoSiWez ziainisha zote hapa...Ambazo ziko uc ni zaidi ya 2000km

Kitu ni izo apartment mnazojenga?bure kweli weweHakuna kitu hapo![]()
Nice kma ni afforda affordable kweli ila project zenu nyng zinaishiaga renders au foundation kazeni butiCounty Government.