Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza Ulole na The best 007 ndio hio BRT imeanza kujengwa. Soon pillars zitaanza kujengwa. Kama uonavyo foundation ya pillars zinajengwa
Ndio BRT inajengwa hvo au unafkiri BRT ni sawa na kula chapati kwani mulivopaka huu upupu mulijua BRT ni nn???🤣🤣👇👇
7B78EE6B-DAB7-4B05-BF75-2EED424409CB.jpeg
 
Kuna mshikaji kanitumia hizi picha kuhusu mradi wa brt Nairobi,mnachotakiwa kujua nikuwa Tanzania hatuna roho mbaya kama nyinyi😂😂😂tunawapa hongera,na kila kheri kwenye mradi huu wenu
Ndio walivokudanganya hvo 🤣🤣🤣 BRT ndio inajengwa hvo yani kirahisi tu kama vile unakula karanga
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Engineer ashaongea. Let's see how you will talk in April next year after phase 1 is done, I can see the story of expressway repeating itself here[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Ndio walivokudanganya hvo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] BRT ndio inajengwa hvo yani kirahisi tu kama vile unakula karanga
 
Back
Top Bottom