ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,361
- 4,105
Sijui mnatembeaje kwa udhaifu huu wa Barbara hapo Nairobi mji mkuu wenu.
Stand Ina transformer ya umeme ikiripuka si itakuwa shida.
Stand watu wanabeba mizigo kama ile usafiri wetu wa zamani yaani hilo wanakoenda hakuna hivyo vitu.
Bongo mkija watu ni kama abiria wa ndege hatubebi bebi mizigo kuning'inia na juu .