Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona jinsi wanavyojipendekeza na kujitongozesha, sura mbaya

Wana laana 😅😅

Ona hii
2533099_D789B296-A280-450F-97B5-71647C1C0E19.jpeg
 
As ussual excuses,suck it....you cant use Tanzanian as your shield to your cowardness
Ukweli huwa uchungu, inauma lakini itabidi umevumilia tu na usonge mbele kaka, no hard feelings, zoea tu😂😂
 
Kenya kukuwa juu yenu inawauma kweli! Mmekosa jibu nikutapatapa humu tu., let entertainment continue, povu ruksa😂😂😂😂
 
Shinyanga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Nakuru kisumu combined and still cannot match 😅😅😅

images (6).jpeg
images (5).jpeg
images (8).jpeg
images (7).jpeg
 
Aafu brother mbona madem wao wanapenda ganja na pombe Sana? Kuna sehemu moja inaitwa umoja 2 maduka ya liquor mengi kama wakala wa crdb
Umesahau shisha na kuchora tattoos kwenye ngozi nyeusi

Halafu katika mademu kumi Nairobi, 8 ni malele, huu ni utafiti nilioufanya mimi na huu utafiti ni ukweli mtupu.
 
Unaona ulivyo na akili ndogo? Thank u for the clip, umejipiga risasi kwa mguu tena! Did u listen to what Unye was saying ama u are reading your thoughts into his speech?, uko ovyo kimawazo kaka! Hapa kamwana amesema tumeshindwa? Amesema tuna import, hatuwezi kujilisha kutokana na mazao yetu ya ndani, issue yake ni Kenya ku import from outside, sio kushindwa, anachotaka ni sisi wenyewe tuzalishe kwa wingi, anaonyesha vile ardhi inapungua, na kwa miaka ijayo it will be smaller ju ya population growth, na kwa hili nafahamu unajua less than a quarter of Kenya is productive, we have to go irrigation way kama Israel ili we stop importing, na itawakosesha soko, hauoni hilo ni tatizo kwenu? uchumi wetu kwa sasa unashughulikia food kikamilifu, una lingine la ku argue hapa? nchi ngapi zina import food and are above u? Sio Kenya pekee, ku import haimanishi kushindwa., my argument ni eti story ya sijui eti njaa blah blah, which happens once in awhile apart from yearly droughts, it has always been caused by logistics delay plus corruption..,
Kenya can't produce its own food to feed its people, as result you
1)Import from Tanzania, Uganda and others
2) You rely on food aid
3) Your are people starve to death.

Tanzania despite of having big arable land, it has constructed irrigation infrastructure for over 600K hectares. Unfortunately Kenya with less arable land has only 150K hectares for irrigation.

Conclusion: Kenya can't feed itself, it will continue import food, depend on food aid, and its people will continue starve to death.
 
Simiyu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Nakuru hands down 👐😅🇹🇿😅🇹🇿

images (4).jpeg
images (3).jpeg
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom