Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] hii ndio 3 level ya kenya yesu ashuke awasaidie View attachment 1643153


alaf hii ya tanzania [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1643154
Yani hapo mlipigwa, magari yote yanaelekea only two directions..
Cheki pangani ilivyochorwa wewe inagawa magari pande zote zote kw plan ya kueleweka
 
Yani hapo mlipigwa, magari yote yanaelekea only two directions..
Cheki pangani ilivyochorwa wewe inagawa magari pande zote zote kw plan ya kueleweka
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 musubiri yesu ashuke kuwasaidia
2CA42477-9846-4BEE-8F5E-8988E0837620.jpeg
 
Ulitakiwa pia utuletee idadi tunayo produce na ku import wala sio hizi porojo..
Maize km sikosei less than 10% ndio tuna import mchele pia vile vile..
Km unapinga sema nikupige na ushahidi, ndio manake hutowai skia wakenya wanalalamika hakuna chakula bali ni wale wanaokumbwa na janga la(drought) hko northern kenya na baadhi ya sehemu kame..

Lkn eti kuhusu vyakula kwetu vipo we ukitaka kasirika
Kwahiyo huyo mlevi wenu alikua amelewa wakati akizungumza?, vipi kuhusu hii?
 
Wapi wale watanzania walikuwa wanabweka juu 100 bob? Haya sasa ndio hii fare ya Commuter train from CBD to JKIA ni 500 bob. Tafuteni microphone mpige nayo nduru[emoji23][emoji23]


🤣🤣🤣🤣👇👇👇





 
Interchange inayopeleka magari in only two direction[emoji23][emoji23]
Eti kisha jamaa anataka ishindanisha na pangani inayogawa magari kote kote at the same time
Two level vs three level wapi na wapi mzee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sikiza wenye akili zao sasa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]





















Subiria NCR ike iwaumbue hao wazee wa kupiga kelele bila information yyte km ilivyokua ya ile waliposema fare ya commuter itakua 100 mwisho wakaumbuka..

Wakenya huwajui wewe
 
🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom