Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii walishashindwa toka jana. Lakini huwa ni wagumu kukubali
Halafu hapo hata bado sijaweka miji yote ya kawaida Tanzania, bado zipo towns ambazo nikiziweka hapa watakimbia JF one-way

Uzuri yule kiongozi wao kashasoma game ya Musoma na Lindi toka jana a kaamua kuipotezea hii battle sababu aliona Kenya inaenda kuwa kituko live live 😅😅😅
 
Do you call those ruins you have just posted as Towns?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] My friend those things can't even be urban areas in Somalia let alone South Sudan[emoji23][emoji23]
Vihiga, wajir, Turkana, mandera zimewashinda kuleta zipambane na ruins 😂😂😂😂
 
Kicks of a dying horse[emoji23][emoji23]. Hiyo Mbeya linganisha na Msambweni market place kule Kwale County[emoji1787]
Tatizo wakenya wao translation ya city ni highrise buildings. Kama mji hauna majengo marefu basi sio city...

Izi ni perception za Asia uko kwenye population kubwa ndo wanapenda majengo marefu europe unawezakukutana na city imepangwa vizuri jengo refu ni floor 15. Na ni city kali tu.
Iyo ndio mbeya.
 
Mtanzania hajaishiwa na excuses. This is Kisii town, it's not a city yet it has High-rise buildings.[emoji23][emoji23][emoji23]
maxresdefault.jpeg
 
Hamtawai kosa excuse[emoji23][emoji23][emoji23]. This is Eldoret Town, it has High-rise buildings yet it's not a city.
Tatizo wakenya wao translation ya city ni highrise buildings. Kama mji hauna majengo marefu basi sio city...

Izi ni perception za Asia uko kwenye population kubwa ndo wanapenda majengo marefu europe unawezakukutana na city imepangwa vizuri jengo refu ni floor 15. Na ni city kali tu.
Iyo ndio mbeya.
37656901745_e656ac03a2_b.jpeg
img_2822.jpeg
 
LOL mbona unaleta your major towns, ungeleta poorest towns, hizi tushazizoea sana tu huku

Kwani Tanzania hakuna towns kubwa kuliko hizi ambazo sio cities?
Is your brain functioning properly?[emoji23][emoji23]. I posted those pictures of Eldoret to prove wrong one of your fellow witch who claimed that in Kenya any urban place with an High-rise is automatically a city.
 
Singida ndio gari ya kuenda wapi?[emoji23][emoji23]
Kama we kweli mwanaume leta your least developed towns, usilete hizo most privileged ambazo kila mtu anazijua na hazizidi 6 including Nairobi, Mombasa kisumu (poorest counties) 😂😂😂😂
 
Kama we kweli mwanaume leta your least developed towns, usilete hizo most privileged ambazo kila mtu anazijua na hazizidi 6 including Nairobi, Mombasa kisumu (poorest counties) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Are you aware that Kisumu is richer than Mwanza your second city?[emoji23][emoji23][emoji1787].
 
Back
Top Bottom