Tena vizuri sana kisha, jamaa huaga ywaumbuka vibaya sana..Naezakumba hizo days akisema kuwa Expressway ikijengwa ataondoka JF.![]()



Tena vizuri sana kisha, jamaa huaga ywaumbuka vibaya sana..
Ngoja NAMATA ije imuumbue pia
Bus ya kumbeba Uhuru kwenda kwenye uzinduzi


Bonge la angle aisee, wenzetu daily picha zile zile


Atakuleta ule mtumbwi tuliouweka kwenye historical site kule bagamoyo.nioneshe project moja waliotengeza meli ukipata tag me
Your not even King of East Africa
Your not even King of East Africa
Bwahahaaa!!nakumbuka march mwaka huu kuna askari wa kike anafokea abiria kw kubanana humo ndani..Zanzibar ya 90s![]()
Wivu ngani Serengeti juzi ilishinda tuzo kama hiyo ya/ani Serengeti 1 ni sawasawa na mb,uga zote kenya hapo hujagusa ngorongoro,kilimanjaro seluu yaani kila kitu Tanzania ni World heritage hamuwezi kushindana na Tanzania hata kwenye mapato
Hello down there, do you know how to read?Wivu ngani Serengeti juzi ilishinda tuzo kama hiyo ya/ani Serengeti 1 ni sawasawa na mb,uga zote kenya hapo hujagusa ngorongoro,kilimanjaro seluu yaani kila kitu Tanzania ni World heritage hamuwezi kushindana na Tanzania hata kwenye mapato



