Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
pata picha hii kitu ingekuwa Nairobi! tusingelala humu! Refer mitumba ya Nairobi metrotrain!wanasema hawaoni umuhimu wa kujenga stendi kama hizi.. wakat hapa mtu anaweza akaanza na biashara ya mtaji wa million moja.. baada ya mwaka akawa na mtaji wa million ishirini then akaenda kuongeza biashara nyingine sehem nyingine yake mwenyewe
View attachment 1634624



