Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kitu ni mpya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Unauliza swali unauliza jibu[emoji28][emoji28] hahaha hujui kama mabasi ni mapya au unataka pakutokea
IMG_20201127_181816.jpeg
 
Km ni zenu mbna basi mlipie toll na mradi ni wa public[emoji1787][emoji1787]
Yani project eti pesa za serekali alafu unalipia toll fee..mwanangu kua uone mengi
Mbona huko Kenya Hospitali za serikali lakini mnalipia?,
 
Kipande ni kidogo sana jangwani inapokatiza msimbazi river and kazi imeanza ya kuongeza kina cha mto na kutoa michanga
Kubali tu mlifeli alafu ndio mjirekebishe, maneno mengi wala hayotosaidia kuepukana na mafuriko pale jangwani
 
Alienunua alisema ni refubrished kwan bahat nzuri tunajua zilitumika spain miaka mingi iliopita [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona usijue na wakati wewe hyo 30 years ulikuwepo kiwandani kule spain[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom