komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kumbe na wewe umeshaanza kuwehika baada ya kuona wajinga tz wamefurika
Kumbe na wewe umeshaanza kuwehika baada ya kuona wajinga tz wamefurika
Umeshaelewa... Bwana...Emu jaribu kuweka maandishi yako vizuri, sasa hapa umeandika nn
Tatizo kila kitu mnaona ligi, haya endelea na yakoUmeshaelewa... Bwana...
Karibu sharubati ya miwa... Na vibanzi
We hutaki kuwa mjasiriamali!? Uwekeze!? Kwenye Taifa hilo la Uchumi wa kati karibia karibia na juu!?Kw mimi siwezi nunua kw sababu sina kazi nayo lkn kw wale ambao wana biashara nazo na kumbe zinawafaidi mbona wasinunue
Sehemu nipo hazinifai labda kw watu wa mashinaniWe hutaki kuwa mjasiriamali!? Uwekeze!? Kwenye Taifa hilo la Uchumi wa kati karibia karibia na juu!?
Tatizo lako na wewe unapenda ligi.. mimi mashindano sijui.. Mie naburudika tu humu maana hii haziongezi kipato wala kuboresha afya.. 🙂Tatizo kila kitu mnaona ligi, haya endelea na yako
Haya Chaurembo! Umeeleweka pasi na shaka! Siku ukihitaji uje .. tunataka kuboost international Trade ... 🙂Sehemu nipo hazinifai labda kw watu wa mashinani
Hyo probox inauzwa ksh 900k hku kenya, hzo ni milioni ngapi kibongo bongo![]()
Basi niambie VENYE maana yake ni nini? Bado sijajua maana yake!Imeandikwa wapi kuwa kitu nimeandika hapa lazima ikuwe kwenye kamusi?
Hii mizigo Kama mi tata bus flan hivi ambayo wameifanyia manuva kwa ndani

Nyie ndo mlikuwa mna-claim tumenunua mabasi yetu ya BRT kwenu sio? 😀😀👆
Tunalipa 2000tsh for a car sawa na 180ksh wakat mchina kawaekea kabisa ushuru wa 600ksh safarii hii mutakunya 😅😅😅😅 kwa miaka 30Kigamboni mnalipa toll fee ya nn km nynyi mnagharamikia miradi kw pesa zenu ili wananchi wafaidi