Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wao,No other road like Thika road in EA,is huge and beautiful,lve my country
What about tax payers money muliopoteza miaka mitatu kuchora BRT uliwah kujiuliza 😅😅😅😅😅
 
Ndio umeshaanza kutuonyesha mzee wa kutoka kiwandani kule spain..
Jichoboy aliyehusika katika uzalishaji wa DMUs
Alienunua alisema ni refubrished kwan bahat nzuri tunajua zilitumika spain miaka mingi iliopita 😅😅😅😅😅
 
Is old but modern,we love the train,it feels comfortable in there,
It cant be old then modern hvi ni vitu viwili kabisa mzee😅😅😅😅 mkiambiwa munatudi nyuma miaka 50 munabisha
 
Kwhyo hta ile miundombinu km vile barabara ya brt ya upande wa yale mafuriko utahamishwa mbezi sio
Kipande ni kidogo sana jangwani inapokatiza msimbazi river and kazi imeanza ya kuongeza kina cha mto na kutoa michanga
 
ichoboy01 bado hujafunga a/c?😂😂😂😂
Kwa ppp kwamba mchina anajenga kwa pesa zake alaf anakuja kuwakamua miaka 30👇👇👇
39A28053-6C8A-446A-938D-D3C2594D4A93.jpeg
 
kikihboy inaonesha uliaminishwa hzo DMU ni modern au sio 😅😅😅😅😅 kweli wakenya muko nyuma miaka 100 ndio maana hata mchina alipowaletea zile old train kwa ajili ya SGR mukashangilia wenyewe kumbe sasa

 
kikihboy hawa ndio wakenya wenye akili zao 😅😅😅👇👇👇 ngoja usikie maintenance cost yake

 
Am not here to argue. However, judging by the improvements in Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru, Eldoret etc, it is only fair to say, Tanzania and their unplanned Towns have a long way to go. A very long way.
EnioWkKWEAMCRJv.jpg
Enzy6suXYAAbT-F.jpg


Not only in the CBD'S, even the so called slums are becoming peoples parks as they get regenerated in the past 3 years.
EjOfxteWsAAfpcP.jpg
EnKq_ofW8AAwcPc.jpg


Those ugly pictures i see posted here are from the past.

1. old view

Enzo0HmXcAIXBEf.png


2. New view
Enzo27xWEAA2M9e.png
 
Am not here to argue. However, judging by the improvements in Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru, Eldoret etc, it is only fair to say, Tanzania and their unplanned Towns have a long way to go. A very long way.
View attachment 1636540View attachment 1636541

Not only in the CBD'S, even the so called slums are becoming peoples parks as they get regenerated in the past 3 years.
View attachment 1636542View attachment 1636543

Those ugly pictures i see posted here are from the past.

1. old view

View attachment 1636544

2. New view
View attachment 1636545
Google earth haijawah kuona slums in tanzania ukipata imeonesha tag me 😅😅😅😅👇👇👇👇
6045FB61-B7DE-4B54-8C12-0CE6BBFF4F46.jpeg
 
Em jiheshimu kidogo, unajua maana ya BRT? Sasa hizo skrepa zenu zinazotembea kama konokono utafananisha na rapid transit?

Muda BRT inatoka kituo kimoja mpaka kingine, huo muda bado hayo makonokono yenu ndio yana heat engine

Yaani yanaenda taratiiib kama chameleons
Acha kulinganisha Nairobi commuter rail na hizi takataka mnaita BRT. BRT gani watu wanatumia dirisha kuingia kwa gari?View attachment 1636554
FB_IMG_16064960620820183.jpeg
FB_IMG_16064909456497061.jpeg
 
Back
Top Bottom