komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Haki si NCR si inawaumiza hawa majamaa jamaniNakuambia kutoka jana bado wako tu na maumivu![]()

Haki si NCR si inawaumiza hawa majamaa jamaniNakuambia kutoka jana bado wako tu na maumivu![]()

Inawaumiza kina nani ?? Sio nyie BRT ilivokua ikiwakimbiza mbio hatimae imewatoa kinyesiHaki si NCR si inawaumiza hawa majamaa jamani![]()
Tunateka East Africa.
Hiyo 35% ni 3/4 ya GDP ya TanzaniaAnd chakushangaza zaidi kenya inamiliki 35% in safaricom![]()



Sasa si wafungashe virago waondoke? Mbona bado wanabaki bongo na kutaka kununua bank zingine huku? IdiotsKumbe hii ugonjwa ya watanzania ya kutolipa loan imeshika kila mtu
Tufunge virago twende wapi? We still want to milk your moneySasa si wafungashe virago waondoke? Mbona bado wanabaki bongo na kutaka kununua bank zingine huku? Idiots





Ukipata ushahidi nitag nasubiria😅😅😅Hiyo 35% ni 3/4 ya GDP ya Tanzania![]()
Wadau jitu limeanza kuamka
Afadhali umekubali kuwa Tz iko pesa nyingi sana ndio maana mnakimbilia huko na kampuni zenu.Tufunge virago twende wapi? We still want to milk your money
Wewe huoni uchumi wa Tanzania umeshikwa na wakenya?Afadhali umekubali kuwa Tz iko pesa nyingi sana ndio maana mnakimbilia huko na kampuni zenu.



Utasubiri sana venye bado unasubiri construction board ya ExpresswayUkipata ushahidi nitag nasubiria![]()



Wapi watu wa Serengeti na Kenya ilikuwa imefunga mipaka juu ya coronavirus na tz walikuwa busy as usual sasa hatungefunga c tungekuwa top 10 dunia nzima 😂😂😂😂😂