ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Jitahidini mutafika tu๐๐๐๐Sema mnajenga vitu za low quality, ikifika kwa high quality lazima TPA itafute penye Kenya iko.
Jitahidini mutafika tu๐๐๐๐Sema mnajenga vitu za low quality, ikifika kwa high quality lazima TPA itafute penye Kenya iko.
Wewe wacha ujinga. Kesi ambazo investors kama yule mkulima aliyefanya ndege kushikwa Afrika kusini na kampuni nyingine ya mining ilifile kesi kwenye nchi za Wazungu hadi kufanya Canada kukamata ndege yenu. Ukweli haupingiki mzee. Na ukiendelea kupinga viujinga ujinga evidence zipo mitandaoni naweza kuzimwaga. Hizi kesi havijafichika. Viko wazi tu mtu yeyote anaweza kuvigoogle tu.Kesi gani mzee zinajulikana na nani???๐ ๐ tatizo lenu nyinyi mumebakia kuipmbea tanzania mabaya kwasababu inafanya mambo makubwa ambayo nyinyi hamujayafanya na hayatafanyika
Mkulima alishashindwa na hata south africa alishindwa ardhi ya tanzania inamilikiwa na watanzania tu ndivo sheria inasemaWewe wacha ujinga. Kesi ambazo investors kama yule mkulima aliyefanya ndege kushikwa na kampuni nyingine za mining zimefile makesi kwenye nchi za Wazungu. Ukweli haupingiki mzee. Na ukiendelea kupinga viujinga ujinga evidence zipo mitandaoni naweza kuzimwaga. Hizi kesi havijafichika. Viko wazi tu mtu yeyote anaweza kuvigoogle tu.
Mimi sipingani na TPA, wanajua ni wapi wanaezapata vitu high qualityJitahidini mutafika tu
Kama mkulima ameshindwa mbona ATCL haiendi SA? Kama hio kesi imeisha mbona ATCL haiwezi kukanyaga SA???Mkulima alishashindwa na hata south africa alishindwa ardhi ya tanzania inamilikiwa na watanzania tu ndivo sheria inasema
Mumebakia kuipakazia tanzania sifa mbaya kwasababu inafanya mambo yasiowezekana acheni ujinga ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Mimi sipingani na TPA, wanajua ni wapi wanaezapata vitu high quality
Na mbona waliachia sasa kama kweli walikamata ???Kama mkulima ameshindwa mbona ATCL haiendi SA? Kama hio kesi imeisha mbona ATCL haiwezi kukanyaga SA???
Mimi ni nani nipingane na TPA

Pilot boats nazo ni boats![]()
sisi huko tulitoka zamani sasa hvi tupo tunajenga meli kubwa kubwa mzee
Aliekwambia wachina wanajenga nani ndivo munavojidanganya nyinyi๐๐๐Sema wachina wanajenga meli low quality huko. Watanzania hawana akili ya kuunganisha hata chuma![]()
Mimi ni nani nipingane na TPA
Fikeni level ya kutengeza meli alaf uje hapa tuzungumzr sasa ๐ ๐ ๐ ๐Sema wachina wanajenga meli low quality huko. Watanzania hawana akili ya kuunganisha hata chuma![]()
nioneshe project moja waliotengeza meli ukipata tag meHii SECO engineering inaonekana ni a very serious engineering firm. Kuna order ya badge kutoka Tanzania ambayo wameshajenga na kudeliver Tanzania. So hii ni order nyingine tena wamepewa.
Nyie mnaassemble meli. Hamjengi. Kuna tofauti ya kuassemble na kujenga. Sisi tunajenga meli nyie mnaassemble. Nyie mnaimport knock-down kits (vyuma vilivyokatwa) kutoka South Korea in Containers halafu mnaanza kuziunganishaSema wachina wanajenga meli low quality huko. Watanzania hawana akili ya kuunganisha hata chuma![]()
Nani ana assemble unawazimu wa kichwa wewe๐๐๐๐๐๐๐Nyie mnaassemble meli. Hamjengi. Kuna tofauti ya kuassemble na kujenga. Sisi tunajenga meli nyie mnaassemble. Nyie mnaimport knock-down kits (vyuma vilivyokatwa) kutoka South Korea in Containers halafu mnaanza kuziunganisha
Aliekwambia wachina wanajenga nani ndivo munavojidanganya nyinyi๐๐๐
SA haikuwa inataka uhasama baina yake na TZ. Ila kesi bado haijaishaNa mbona waliachia sasa kama kweli walikamata ???
Hii meli nimeifuatilia kwa ukaribu kwenye youtube sasa huwezi kunidanganya. Tangu makontena ziwasili TZ na vyuma vilivyokatwa kuanza kuunganishwa. Nimekuwa nikitazama.Nani ana assemble unawazimu wa kichwa wewe๐๐๐๐๐๐๐