Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Acha kulinganisha DMUs na Hzo basi zenu, mtachekwa
0B30F851-8A39-4144-B082-84A6A4436115.jpeg
 


Hawa ndio wale wazee walikuwa wanakaza matako Expressway isijengwe😂😂😂
 
"Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.
Vile nawajua hawa watu, ni uvivu wa kutegemea serikali ifanye kila kitu ndiyo imewafikisha hapa. Mtanzania wa kawaida siyo mtu wa kujituma ama mwenye bidii. Yeye ni angoje apate muhogo na maharage tosha." Kevin85ify

😹😹😹

CC: MATAGA Naton Jr Geza Ulole ichoboy01

Kwaherini

hahaha daaah: ebu pitia hii video kwanza kabla sjaendelea na wewe
 
Wanasema sgr inaishia vichakani,Wala hapo imeishia Ni big EPZ construction zone,,hapo ni industries after industries 🤣🤣😋
Wapi ilipoishia hebu tudanganye sasa😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom