Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole kwa hasira. Hii hapa ni exposure kwa watanzania
Huna akili na huna exposure. Kiufupi wewe ni mjinga!
View attachment 1636138
FB_IMG_16064959610248730.jpeg
12585938_brtpic_jpege4165b1577a261f6e62b20ff04f5d701.jpeg
 
Floods happen everywhere. I’m very sure hata nairobi floods zimeharibu miundombinu! Kama huna kejeli yoyote inayohusisha “THE BRT SYSTEM” specifically, huna sera! Nenda kalale ukue!
Hii ya kwanza pia ni flood?
FB_IMG_16064909456497061.jpeg
 

Attachments

  • FB_IMG_16064960620820183.jpeg
    FB_IMG_16064960620820183.jpeg
    16.7 KB · Views: 6
Eti mtumba unakuwa modernity aisee ndo kwanza nasikia leo yaani used train a.k.a chuma chakavu,rail ya zamani enzi za mkoloni ndo inaitwa modern na new technology duh😂😁😁🤣..

Aisee mungiki kweli wamechanganyikiwa zile buses za brt ni mpya new kabisa,ile concrete road na terminal za brt ni mpya kabisaa na ni teknology mpya hapa east africa,rail ya mkoloni kila mtu anayo

Shida nini,hamna exposure!??..au hamjui maana ya modern na new technology???????
 
Sisi tunataka our Debt to GDP ratio ifike 150% by 2022. Hiyo 80% bado ni kidogo sana.
Hapa ilipo GDP inahara na washakwambia munakaribia redline au hujui maana ya red line 😄😄😄😄👇👇👇👇
8501DE47-BA31-4653-8260-9E6C31F78E68.jpeg
 
Back
Top Bottom