ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yani wameona automated ticketing ni ya kisasa 😀😀😀😀 wakat sisi tuko kwenye online recharging cards[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah, jamaa ni washamba kinoma
Yani wameona automated ticketing ni ya kisasa 😀😀😀😀 wakat sisi tuko kwenye online recharging cards[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah, jamaa ni washamba kinoma
Station ya commuter nairobi hadhi yake ni garage ya dar brt buses,fair competition thou😁😂🤣Obviously kuna mtu mwenye hajui meaning ya automated ticketing. Anyway acha tusonge mbele, Nairobi commuter stations Vs BRT stations [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1636186View attachment 1636189View attachment 1636187
Hiyo station ya Nairobi commuter Railway imeshinda zile vibanda vyenu vya SGR. Ama unapinga?[emoji23][emoji23][emoji23]Station ya commuter nairobi hadhi yake ni garage ya dar brt buses,fair competition thou[emoji16][emoji23][emoji1787]
Ohh sisi BRT thika road 😀😀😀 nyenye BRT ni simple tu sawa na kula githeriITV [emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1636231
CGTN [emoji116][emoji116][emoji116] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ohh sisi BRT thika road [emoji3][emoji3][emoji3] nyenye BRT ni simple tu sawa na kula githeri
Watu wanahangaika na BRT miaka mitatu sasa ohh sisi tunajenga BRT labda mukajengee mbinguni 😀😀😀👇👇Utazunguka alafu mwishowe utarudi tu huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1636234View attachment 1636235View attachment 1636236View attachment 1636237
Kwa vile uliskia dar hakuna commuter train au??? Kinachokuuma ww kwann kenya hakuna BRT 😅😅😅😅😅Umekimbia Commuter rail?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa hata nguruwe haiezikaishiWatu wanahangaika na BRT miaka mitatu sasa ohh sisi tunajenga BRT labda mukajengee mbinguni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mtu anauliza kabisa eti mna automated tickets, kweli ushamba mzigoYani wameona automated ticketing ni ya kisasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakat sisi tuko kwenye online recharging cards
Umesha-change topic tayariHiyo station ya Nairobi commuter Railway imeshinda zile vibanda vyenu vya SGR. Ama unapinga?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haijawah kutokea africa na haitatokea historia hio 😀😀😀😀👇👇Utazunguka alafu mwishowe utarudi tu huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1636234View attachment 1636235View attachment 1636236View attachment 1636237
😅😅😅😅😅😅😅 acha kabisa hio kitu inawaumiza kindakindaki kwasababu wao wamefeli pamoja na kupoteza taxpayers moneyUmesha-change topic tayari
Leo nimegundua jinsi BRT inavyowatesa wakenya na serikali yao
Unaongelea hii?.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa vile uliskia dar hakuna commuter train au??? Kinachokuuma ww kwann kenya hakuna BRT [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]