The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
ndio nasubiri atuoneshe hapa nimpe ile kitu wanaita kampa kampa tena😂😂😂
ndio nasubiri atuoneshe hapa nimpe ile kitu wanaita kampa kampa tena![]()




Haya. Sasa changia uzi huu mjadili pamoja na wananchi wenzako au hutaki? 😹👇👇👇👇👇 hujui kusoma au
View attachment 1605994
Wanafikiri BRT ni km kula githerindio nasubiri atuoneshe hapa nimpe ile kitu wanaita kampa kampa tena![]()




Wallah? Sikutambua TZ imeathirika na janga hili kwa vile mlivyoturingia jinsi hamna corona. Jinsi uchumi wenu utaipiku ya Kenya kisa athari za corona. Doooh, kwa hivyo mmeathirika? Aisee JF rahaa, silipiii Netflix 😹kwan hujui corona imeharibu uchumi wa dunia au unataka tufundishane mbona unakua kama bogus
Mbumbumbu kama wewe hutambui feasibility studies pia ni part ya ujenzi? Au hutaki? BRT yetu ki motoni na ujenzi wake asilimia 3-7%iko wapi tuoneshe sehemu munajenga BRT 😂😂😂😂😂
😹😹😹 Soma post number 1 kisha utuhadithie Dar imeiwacha NAIROBI kwa vigezo vipi kisha urejee
Poverty-stricken Kenya View attachment 1606021View attachment 1606022
Leo hii mnakubali news kutoka waandishi wa Kenya? Dooh, JF raha aisee 😹😹Poverty-stricken Kenya View attachment 1606021View attachment 1606022
😲😲😲😲😲Leo hii mnakubali news kutoka waandishi wa Kenya? Dooh, JF raha aisee 😹😹
Halafu World Bank waliowatoa LDC leo mnawakataa? Dooh JF rahaa 😹😹
WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo
"Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.
🙂 Weka link, sio unajifurahisha na picha
Wahurumie tu sikupenda kwao it's just inborn(ujinga)"Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.
Vile nawajua hawa watu, ni uvivu wa kutegemea serikali ifanye kila kitu ndiyo imewafikisha hapa. Mtanzania wa kawaida siyo mtu wa kujituma ama mwenye bidii. Yeye ni angoje apate muhogo na maharage tosha." Kevin85ify
😹😹😹
CC: MATAGA Naton Jr Geza Ulole ichoboy01
Kwaherini
Tuletee hzo za kwenu ambazo hazijaliwa na magu na mkatekeleza.Sema Kamau kala fedha ya pedestrian sideways!