Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siezikasirikia hii Kanisa [emoji23][emoji23]
Ushaanza kukasirika sasa utaamini taratibu mdogo mdogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1606502505956.jpeg
 
Mtu anafananisha BRT na commuter rail 😀😀😀 hawa watu bado laana wanayo BRT inazunguka mji mzima commuter rail ina point maalumu za kufika

eti anataka ionekane BRT haina maana kisa wao wamefeli kujenga 😅😅😅😅😅

Mungu atupe subira na umri tuone mengi aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu atupe uhai tutaona mengi sana
Ndio umeshaanza kutuonyesha mzee wa kutoka kiwandani kule spain..
Jichoboy aliyehusika katika uzalishaji wa DMUs[emoji1787][emoji1787]
 
Nairobi computer railway!!??!!

Tangu lini mtumba ukawa modern??!..yaani uhispania watumie kwa miaka 40 halafu leo uje huku uwe modern!??..

Wacha utaniis
Is old but modern,we love the train,it feels comfortable in there,
 
Back
Top Bottom