Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tunatumia online recharging cards mzee pesa yako inakaa kwenye kadi yako ukifika una swipe unakwenda hakuna mambo yakukaa foleni kusubiri ticket
Obviously kuna mtu mwenye hajui meaning ya automated ticketing. Anyway acha tusonge mbele, Nairobi commuter stations Vs BRT stations [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1636186
tapatalk_1606499055332.jpeg
FB_IMG_16064959610248730.jpeg
 
Obviously kuna mtu mwenye hajui meaning ya automated ticketing. Anyway acha tusonge mbele, Nairobi commuter stations Vs BRT stations [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1636186View attachment 1636189View attachment 1636187
Sisi tunatumia online recharging cards mzee tuko mbele yenu zaidi 😂😂😂😂😂
Siku utanionesha card kama hii kua inatumiaka kwenu nitag mm 😅😅😅👇👇👇👇
View attachment 1636190
 
Brt wamefeli vibaya sana, yani kila mwaka lazima kufurike[emoji1787][emoji1787]
Eti BRT wamefeli wakat hio hata sio kituo ni just parking area ya BRT buses 😀😀😀😀 tuko na phase 2 sasa hzi huku phase 3 maandalizi yakianza unauzngumza mambo ya kufeli au unafkiri hii ni ile SGR ya mchina ilioshia machakani 😅😅😅😅
 
Eti BRT wamefeli wakat hio hata sio kituo ni just parking area ya BRT buses [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tuko na phase 2 sasa hzi huku phase 3 maandalizi yakianza unauzngumza mambo ya kufeli au unafkiri hii ni ile SGR ya mchina ilioshia machakani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mumefeli kweli kwn uongo[emoji1787][emoji1787]
 
Nacheka sana tena kwa sauti treni used za miaka 30 iliopita unanimabia mm nawivu nazo serious [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Uumie kisa ulihusika kuzitengeneza hyo miaka 30 iliyopita[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom