Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shugulika na deni za kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

But la ajabu debt to GDP ratio tanzania is 32% while kenya is over 80 going to 90%😁😁😁😁😁😁 mpaka munapewa alert ya kuingia redline au hujasoma
E61C6D86-5598-4AA2-9FF9-AE01FC0753EF.jpeg
 
Kuna deni la siri dunia hii aliekudanganya nani??? Yani ukopwe alaf uandike financed by gvt inaonekana sheria za mikopo huzijui ww[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kitu cha public unatozwa toll fee alafu mradi unaandikwa financed by the govt kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani mradi wa serekali kw public kisha mnalipia
 
Back
Top Bottom