ushaambiwa sema una ukakasi unakuwasha,,,
ni ivi hiyo project ilidhaminiwa na NSSF ambayo pia ipo chini ya government lakini haimaanishi kwamba kwa kuwa ipo chini ya government eti ishindwe kufanya shughuli zake za kimaendeleo ,,,,mfano kubuni miradi yao binafsi ya kuuingizia mfuko kipato kwa ufupi NSSF ina majukumu yake na inaweza ikafanya chochote kwa kusimamia miradi yao,,,,kilichofanyika kwa NSSF walisimamia project nzima kwa kutoa pesa kutoka kwenye mfuko wao na mwisho wa siku wanajiingizia kipato kupitia hiyo project.....kwa kuwa wanapopata wao pia serikali kuu nayo inapata mapato hivyo pesa inakuwa inazunguka ndani ya serikali ya Tanzania si kwa mchina kama mnachokifanya nyie
nj vitu normal sana