Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tunatarget kufika 150%. Hiyo 80% bado ni kidogo sana.
Hamutawahi kufika unajua kwann kwasababu mushanusa redline 😅😅😅👇👇👇
44BA659B-C30E-4CEB-89A4-5A2D211C56EF.jpeg
 
Eti mtumba unakuwa modernity aisee ndo kwanza nasikia leo yaani used train a.k.a chuma chakavu,rail ya zamani enzi za mkoloni ndo inaitwa modern na new technology duh[emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787]..

Aisee mungiki kweli wamechanganyikiwa zile buses za brt ni mpya new kabisa,ile concrete road na terminal za brt ni mpya kabisaa na ni teknology mpya hapa east africa,rail ya mkoloni kila mtu anayo

Shida nini,hamna exposure!??..au hamjui maana ya modern na new technology???????
Ati wanataka kujilinganisha na NCR.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20201127_181816.jpeg
12585938_brtpic_jpege4165b1577a261f6e62b20ff04f5d701.jpeg
FB_IMG_16064959610248730.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hebu tuambie what kind of technology and modernity unazumgumzia. Usikute hujui hata unachoandika. Ushabiki wa kitoto tu!
Hahaha!!mbona umekuja kw hasira baba[emoji1787][emoji1787]
Kwhyo huamini
 
DMU zilizotumika spain zaidi ya miaka 30 ni modern au munarudia matapishi yale yale ya mchina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1636164
Uko na uchungu kweli nkm ulihusika ku manufature hvyo vyuma hyo miaka thelathini iliyopita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wenzako tumenunua basi na ziko vizuri kw kila kitu kuliko BRT dar
 
Back
Top Bottom