Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok ni fair kufananisha brt buses zilizoharibika na train chakavu kutoka uhispania..you guys are funny!!!..
IMG_20201127_181816.jpeg
 
Ok ni fair kufananisha brt buses zilizoharibika na train chakavu kutoka uhispania..you guys are funny!!!..😁😂
Talking of train chakavu, people really love them,it was crowded today at station,hio fare ya ksh100 ni ndogo sana for such high quality trains,waongeze iwe 250 hivi or else train station itageuka iwe crowded Kama matatu terminals
 
Ebu wewe leta yako yenye inaweka Dar juu ya Nairobi
Sasa ona ulivyo mjinga, hizo habari za wealth umeleta wewe,halafu evidence unataka nilete mimi..mbona hujielewi dogo?!...nimesema hivi kilimani haijajengeka ni msitu mnene mwanzo mwisho yaani3/4 ni vichaka tu,wewe umekuja umesema kilimani ni wealther mara 2 ya dar,haya leta evidence,unaleta ya 2017,nayo ni wrong haizungumzii kilimani,inazungumzia nairobi..leta evidence that kilimani ni wealthier kuzidi dar in 2020..acha porojo kama pregnant
 
Talking of train chakavu, people really love them,it was crowded today at station,hio fare ya ksh100 ni ndogo sana for such high quality trains,waongeze iwe 250 hivi or else train station itageuka iwe crowded Kama matatu terminals

Yeah ndivyo ilivyo kwa washamba na hakuna option nyingine,hamna namna nyie ipendeni tu hiyo skrepa lakini haina uwezo na hadhi ya dar brt,hiyo ni fact na keep it in your fuc*kin' head
 
Eti ile mtumba spanish ni HIGH QUALITY train...!!!!!??😃😃🤣🤣🤣😂😂😂

Duh wakenya poleni sana,nawasikitikia
 
Sasa ona ulivyo mjinga, hizo habari za wealth umeleta wewe,halafu evidence unataka nilete mimi..mbona hujielewi dogo?!...nimesema hivi kilimani haijajengeka ni msitu mnene mwanzo mwisho yaani3/4 ni vichaka tu,wewe umekuja umesema kilimani ni wealther mara 2 ya dar,haya leta evidence,unaleta ya 2017,nayo ni wrong haizungumzii kilimani,inazungumzia nairobi..leta evidence that kilimani ni wealthier kuzidi dar in 2020..acha porojo kama pregnant
Kwani umesahau hii🤣🤣🤣👇👇👇

Ndo mnavyoongopewa eeehhh..halafu we jamaa unakuwaga boga sana,nairobi kamwe haiwezi kuwa wealth kuzidi dar baba lao
 
😃😃😀wonderful
Sijawahi kujua kumbe zile matatu huwa zinakuwaga kwa terminal?!!!?..i can't wait to see one,jamani mwenye terminal ya matatu walau moja tu aiweke hapa nime-miss kucheka
 
Back
Top Bottom