Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama watanzania ni maskini kla mtu c maskini umeskia 600ksh ni pesa kidogo sanaa kwa mkenya anayemiliki gari
Sisi huku Magari tunamiliki mpaka masikini. Inaelekea kuwa basic need. Ndio maana tunawajali Parking mjini tu jero.. kariakoo mia tatu tu.. kwenu huko ingekuwa KSh. 25Mjini na KSh. 15 kwa Kariakoo ili Masikini Sisi twende tukauze na kununua pia.

Na Toll fee kubwa huku kwetu ni sawa na KSh.90 kwa Kigamboni.. for SUV Family Cars na KSh 70 kwa Vipaso na Vigari vidogo vidogo hata Hiyo Yenye mnapenda sana proboo inakuwa tu hiyo hiyo tu 70.

Ferry like wise haizidi 120 KSh. Most of places.
 
Hawachelewi kuweka neno lao ya kwanza east and central africa
Wazee wa first, biggest, moder ukanada huu wanajulikana

Hta ndege zingeliwatuma mngeliziita the biggest lkn kidogo mlijizuia
 
Sisi huku Magari tunamiliki mpaka masikini. Inaelekea kuwa basic need. Ndio maana tunawajali Parking mjini tu jero.. kariakoo mia tatu tu.. kwenu huko ingekuwa KSh. 25Mjini na KSh. 15 kwa Kariakoo ili Masikini Sisi twende tukauze na kununua pia.

Na Toll fee kubwa huku kwetu ni sawa na KSh.90 kwa Kigamboni.. for SUV Family Cars na KSh 70 kwa Vipaso na Vigari vidogo vidogo hata Hiyo Yenye mnapenda sana proboo inakuwa tu hiyo hiyo tu 70.

Ferry like wise haizidi 120 KSh. Most of places.
How long is Kigamboni Bridge?
 
Mbona basi data zinasema tofauti katika umiliki wa magari, manake kenya ndio inaongoza..

Alafu kuhu bei kw nchi maskini inaeleweka
 
Sisi huku Magari tunamiliki mpaka masikini. Inaelekea kuwa basic need. Ndio maana tunawajali Parking mjini tu jero.. kariakoo mia tatu tu.. kwenu huko ingekuwa KSh. 25Mjini na KSh. 15 kwa Kariakoo ili Masikini Sisi twende tukauze na kununua pia.

Na Toll fee kubwa huku kwetu ni sawa na KSh.90 kwa Kigamboni.. for SUV Family Cars na KSh 70 kwa Vipaso na Vigari vidogo vidogo hata Hiyo Yenye mnapenda sana proboo inakuwa tu hiyo hiyo tu 70.

Ferry like wise haizidi 120 KSh. Most of places.
Kigamboni mnalipa toll fee ya nn km nynyi mnagharamikia miradi kw pesa zenu ili wananchi wafaidi
 
bado nashindwaga kuelewa,kwa umaskini uliopo kenya hawa wakunya wa humu jf wanatoleapi nguvu za kubishana na sie?
Mi pia nahangaa kwnn ukiwekeza kenya una uhakika wa kupiga mpunga sana sana katika miradi ya direct kw mwananchi kuliko tanzania
 
Sisi huku Magari tunamiliki mpaka masikini. Inaelekea kuwa basic need. Ndio maana tunawajali Parking mjini tu jero.. kariakoo mia tatu tu.. kwenu huko ingekuwa KSh. 25Mjini na KSh. 15 kwa Kariakoo ili Masikini Sisi twende tukauze na kununua pia.

Na Toll fee kubwa huku kwetu ni sawa na KSh.90 kwa Kigamboni.. for SUV Family Cars na KSh 70 kwa Vipaso na Vigari vidogo vidogo hata Hiyo Yenye mnapenda sana proboo inakuwa tu hiyo hiyo tu 70.

Ferry like wise haizidi 120 KSh. Most of places.
Compare the two

Kigamboni Bridge = Approx 1km
Toll fee = KShs 90
Fee per Km = KShs 90

Nairobi Express way = Approx 25km
Toll fee = KShs 600
Fee per Km= KShs 24

Expressway is cheaper
 
Back
Top Bottom