Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wanasema hawaoni umuhimu wa kujenga stendi kama hizi.. wakat hapa mtu anaweza akaanza na biashara ya mtaji wa million moja.. baada ya mwaka akawa na mtaji wa million ishirini then akaenda kuongeza biashara nyingine sehem nyingine yake mwenyewe
View attachment 1634624
Kwn hzo biashara kuanzishwa mpka kujengwe stendi
 
So start construction first tujue munajenga basi

usisahau expressway ni ppp weka kwa akili kuna ushuru wa mchina kwa miaka 30
View attachment 1634698
Naona mziki inachange
1.Ulianza kwa kusema kuwa expressway haitawaijengwa.
2.Ukaenda kwa kuitisha construction board
3.Sasa saa hii unasema kuwa haingekuwa juu ya ppp haingejengwa.

Kwani mwanzoni venye ulikuwa unasema haitawaijengwa hukujua ni PPP?
 
Back
Top Bottom