Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya ni vitu gani mnakubali kuwa Tanzania tumewapita au tunafanya vizuri zaidi yenu? mim kwenu mfano moja naona banks zenu zinajitahidi sana kuliko zetu [emoji112]

leo tujadili hili swala.. kama una mawazo tofauti leta hoja [emoji1736]
Tanzania inazidi Kenya kwa kupokea grants and donations.

IMG_20201126_132258.jpg
 
Hakuna mpaka sasa hvi miradi yote inafadhiliwa na serekali unajua sababu kubwa ile wananchi wasije hangaika na kulipa ushuru kwa mwekezaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mbona deni la taifa limepanda maradufu awamu hii
 
Naona mziki inachange[emoji23][emoji23][emoji23]
1.Ulianza kwa kusema kuwa expressway haitawaijengwa.
2.Ukaenda kwa kuitisha construction board
3.Sasa saa hii unasema kuwa haingekuwa juu ya ppp haingejengwa.

Kwani mwanzoni venye ulikuwa unasema haitawaijengwa hukujua ni PPP?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kama kwa ppp sawa ila serekali itoe 600m usd inatoa wapi kwa mfani ikiwa pesa ya kulipa salaries hakuna just imagine [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama kwa hiii ppp kua mchina ataichukua kwa miaka 30 huku mukikamuliwa hapo sawa uzuri wa mchina habahatishi


View attachment 1634919
Cc Teargas jamaa ka change gear tena[emoji23][emoji23]
Umeona alichokiandika hata anasikitisha
 
Nimeangalia sana kwa makini kwenye kamusi ya kiswahili lakini sijaona neno VENYE. Sijui ulikuwa unaanisha nini hapa.
Imeandikwa wapi kuwa kitu nimeandika hapa lazima ikuwe kwenye kamusi?
 
Hao wamezoea kupata vitu za bure achana naye
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Cc Teargas jamaa ka change gear tena[emoji23][emoji23]
Umeona alichokiandika hata anasikitisha
Nani ka change gear nimemwambia kenya haina pesa ya kujenga mradi wowote na kama ni ppp ambayo mchina ataishika kwa miaka 30 akiwakamua hapo sawa😅😅
8C206FDA-31CA-4AD0-90E1-7ED30AD01E3B.jpeg
 
Back
Top Bottom